Kama msajili hawatambui Karibu mkuu, manaibu makatibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu, je hapo Kuna kamati kuu? Je kama kamati kuu ni bhatili je, inayo nguvu ya kukaimisha Katibu Mkuu na manaibu wake na wengine iliyowakaimisha?
Weweni punguani kweli!! Ina maana huna akili ya kufundishwa halafu ukaelewa?
Umeafundishwa sana, lakini inaonekana akili yako ni zero kabisa.
Haya nakupeleka taratibu kufuatana na uwezo mdogo wa akili yako:
1. Ni nani viongozi wakuu wa CHADEMA?
a. Mwenyekiti Taifa, anachaguliwa na mkutano mkuu.
b. Makamu Mwenyekiti wa Chama bara na Visiwani, wanachaguliwa
na mkutano mkuu
c. Katibu mkuu, anateuliwa na Mwenyekiti na kuodhinishwa na wajumbe wa baraza kuu
d. Manaibu katibu mkuu, bara na zanizbar, wanateuliwa na Mwenyekiti wa chama, na kuidhinishwa na baraza kuu.
e. Wajumbe wa kamati kuu: wajumbe wa kamati kuu, karibia wote wanaingia kwenye kamati kuu kutokana na nafasi zao za uongozi: Mwenyekiti wa chama, makamu wote wawili wa chama, manaibu katibu wakuu, wenyeviti na makatibu wote wote wa kanda, wenyeviti, makatibu, makatibu wenezi wote wa mabaraza, na wajumve wanne walioreuliwa na mwenyekiti.
Kwa hiyo, kwenye hilo kundi lote la wajumve wa kamati kuu, aliowakataa msajili, ni hao tu walioteuliwa na mwenyekiti ambao waliidhinishwa na Baraza kuu, kwa madai kuwa baraza kuu lilikosa akidi. Kwa hiyo, hapo unamzungumzia katibu mkuu, manaibu katibu wakuu, na wajumve wawili tu (Rose na Lema), ni watu watano tu.
Hata kama una akili kidogo, kamati kuu imekosaji uhalali, wakati wajumve wake karibia wote ni wa kuchaguliwa na vikao mbalimbali. Na aliowakataa msajili ambao waliteuliwa, hawakushiriki kikao hicho.