Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
Kulikiwa hakuna haja ya kumwita mwendawazimu, nadhani mwambie na kwa maoni yangu CDM sasa wako sahihi, Msajili hakuvunja kamati kuu bali hakutambua uteuzi wa wajumbe ambao anasema waliteuliwa kinyume cha katiba. Kwa kuwa kamati kuu iliyopo iko constituted sahihi, na kwa kuwa akidi imetimia, na kwa kuwa kwa mujibu wa katiba yao wanaweza kuteua Kaimu SG, na kaimu DSGs bara na visiwani kwahiyo hawajavunja katiba yao.Wewe kweli ni mwendawazimu!! Jisikitikie kwa kuwa mwendawazimu.
Yaani wajumbe wa kamati kuu waliochaguliwa kwenye uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, ulioshuhudiwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi, na kusifiwa kuwa ni uchaguzi wa kiwango cha pekee, halafu wewe unawaita waliochaguliwa ni batili!! Bado unaamini una akili timamu?.
Kwa maoni yangu hii ni sahihi zaidi kuliko kutunishiana misuli huku wakibuy muda wa kuitisha baraza kuu pale watakapokuwa wanaweza kumanage vizuri mambo fulani fulani.