kibokilimani
Senior Member
- Jul 5, 2020
- 144
- 37
Akili zako naona ata wewe mwenyewe hazikutoshi naona umekuwa mshauri wa chama tawala unadhani hawakuangalia ayo unayoyasema kweli wewe topolo Sasa Gwajima ameshapitishwa na anakwenda kushinda kwa kishindo subiri uoneHeshima sana wanajamvi.
Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa,kikongwe,kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika nzima.
Kutokana na ukongwe na ukubwa wake unabaki kushangaa ilikuwaje Askofu Gwajima jina lake likapitishwa na vikao vizito vya chama !.Kamati kuu ilishindwa kupata ushahidi wa video za Askofu Gwajima akikashifu dini ya KiIslam,Catholic,Lutheran.......Eti kwake yeye dini ya maana ni Assemblies of God.
Ipo Video najaribu kuiweka hapa kwa kweli inashangaza kama si kusikitisha.Askofu Gwajima badala ya kuhubiri/mafundisho ya imani yake kajikita zaidi katika kukashfu imani nyingine tena kwa maneno ambayo hata mimi naogopa kuandika hayafai yamekosa ustaarabu wa kiwango cha kutisha.Ni ajabu sana Askofu Gwajima bado anaoujasiri wa kupita mitaani bila aibu wala uoga wa kuomba kura jimbo la Kawe.
CCM imefanya makosa makubwa,tukubali na kujisahihisha mapema.
Endelea kuota utakuja kushtuka Gwajima anaapishwaHapati ubunge huyo wala usipate fabu. Kawe siyo Gongo la mboto
Huo ni mtazamo wa jicho la kibinaadamu kwa upande wa mipango ya Mungu ni tofauti, Gwajima yule aliyesema hayo na kutenda hayo ni Gwajima mwingine na Gwajima huyu mgombea wa Kawe ni Gwajima mwingine kama ilivyo kwa Sauli na Mtume Paulo.Hapo Paskali unakubali kwamba Gwaji alikosea. Na alikosea zaidi alipoapa mbele za Bwana na madhabahu yake kwamba yeye hawezi kugombea Ubunge au Uraisi na kwamba kazi hizo si size yake. Hawezi kugombea vyeo hivyo kwani kwa kufanya hivyo atakuwa amejishusha chini. Hakuishia hapo aliapa kwamba yeye atamtumikia Mungu aliye hai siku zote za maisha yake. Amekiuka kiapo chake mbele za Bwana na kibaya zaidi aliamua kumla kondoo moja na kuwaacha wengine wengi wakihangaika kutafuta malisho baada ya yeye Mchungaji, kuingia mitini na kwenda kugombea Ubunge. Mtu asiyekuwa na msimamo thabiti, asiyeishi yale anayoyaamini, hatufai.
Ata kama ungekuwa kawe ungezuia nini labda mkubali mkatae Gwajima anatosha kaweWana bahat sipo kawe
Akili zako naona ata wewe mwenyewe hazikutoshi naona umekuwa mshauri wa chama tawala unadhani hawakuangalia ayo unayoyasema kweli wewe topolo Sasa Gwajima ameshapitishwa na anakwenda kushinda kwa kishindo subiri uone
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Nimekuekewa Paskali. Hapo ndio tunaingia kwenye sayansi ya "split personality". Rejea William Shakespeare, Dr. Jekyll and Mr. Hyde. Upande mmoja tunaye Gwaji ambaye ni Mtume Paulo na ule mwingine ni Saul. Hivyo unashauri tumchague Gwaji kama Mt. Paulo na tumwache Gwaji ambaye ni Saul. Tatizo linalojitokeza hapo ni lini utajua kwamba aliyepo leo ni Paulo na si Sauli ili watu waweze kumchagua. Ufumbuzi wake ni kuwaacha wote na si kucheza patapotea.Huo ni mtazamo wa jicho la kibinaadamu kwa upande wa mipango ya Mungu ni tofauti, Gwajima yule aliyesema hayo na kutenda hayo ni Gwajima mwingine na Gwajima huyu mgombea wa Kawe ni Gwajima mwingine kama ilivyo kwa Sauli na Mtume Paulo.
Gwajima huyu ndie chaguo sahihi kwa Kawe.
P
Mkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.
Kama Gwajima ndio chaguo la Mungu kwa Kawe, akiibuka mtu kusema ni wrong choice, kwanini tukae kimya?.
P
Gwajima ndo kila kituNitamshangaa sana mtu mzima miaka 18, una akili timamu kbs,
umpigie kura Gwajiboy au mbunge yyte wa fisiemu
Tunawapenda wake zetu, kumchagua huyu ni hatari kwa ndoa zetu. Hatuwezi kufanya hivyo.Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Endelea kuota, awamu hii hamchomoki na nyie vibaraka mtapata tabu sanaBinadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P