Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Iko wapi supporting document juu ya hili ulilobandika hapa?, No video hata picha tu imekushinda?
 
Hata Gaddafi na Mubaraka hawakuamini kuwa watatoondolewa madarakani mpaka yalipotimia.
Na ndo halima aamin mpaka leo kuwa ubunge kashashindwa Hahaha hyo research yenu ndogo isiwape matumain kuwa Gwajima atashindwa aise mtasubiri sana kwanza hamjifunzi kitu kama aliweza kuwa nafasi ya tatu ana akateuliwa ujue tu hata ubunge lazima ashinde mlishangilia alivyokuwa nafasi ya tatu na kuona kuwa ameshindwa sasa hata ubunge nao lazima ashinde tena sio kushinda tu bali kwa kishindo kikuuuu amin nakuambia
 
Mimi siwezi kua mbunge au waziri maana hivyo ni vyeo vidogo sana mbele ya Mungu,haleluyaaaaaaaaah-Gwajima.

Mimi Askofu Gwajima naomba unichague niwe mbunge wa Kawe-Gwajima.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Itoshe tu kusema endeleen na porojo za mtandaoni huku hakuna wapiga kura kawe inasonga mbele kawe ya kijan na Gwajima yuko na kasi akiendelea na kampen zake mwaka huu kitaumana
 
Kiburi kinakwenda kumuangusha Magu mwaka huu yeye na chama chake.
Ndio maana amekuja kivingine sasa.

IMG_20201001_031244.jpg
 
Na ndo halima aamin mpaka leo kuwa ubunge kashashindwa Hahaha hyo research yenu ndogo isiwape matumain kuwa Gwajima atashindwa aise mtasubiri sana kwanza hamjifunzi kitu kama aliweza kuwa nafasi ya tatu ana akateuliwa ujue tu hata ubunge lazima ashinde mlishangilia alivyokuwa nafasi ya tatu na kuona kuwa ameshindwa sasa hata ubunge nao lazima ashinde tena sio kushinda tu bali kwa kishindo kikuuuu amin nakuambia

Zingatia koma na nukta we kilaza.
 
Huo ni mtazamo wa jicho la kibinaadamu kwa upande wa mipango ya Mungu ni tofauti, Gwajima yule aliyesema hayo na kutenda hayo ni Gwajima mwingine na Gwajima huyu mgombea wa Kawe ni Gwajima mwingine kama ilivyo kwa Sauli na Mtume Paulo.

Gwajima huyu ndie chaguo sahihi kwa Kawe.
P

Kawe tunakwenda na Gwajima
 
Nimehudhuria kwenye kampeni katika kata moja ya jimbo la KAWE, aisee nilikua siamini kama wanaccm wenyewe wanaweza kutamka kwa maneno yao midomoni kua Ubunge wanampa mpinzani halafu Urais kwa Magufuli ingawaje nako Urais nasikia wanatamkia mdomoni lakini watampa Tundu Lissu.

Huyu ni mgombea wa pili kukaguliwa live na wananchi katika mkoa wa Dar es Salaam baada ya Bonah Kamoli wa jimbo la Segerea naye kukataliwa hadharani tena yeye akiwepo kwenye mkutano mpaka alifunika macho yake.

Ni kosa sasa kwa kamati kuu ya CCM kupitisha watu ambao hayakua machaguo ya wananchi, tatizo kubwa la Gwajima alikua mshindi wa 3 nyuma ya Angella na Furaha ambao nao walikua na wafuasi wao. Hili limeleta mgawanyiko mkubwa hata kwa CCM wenyewe, wajumbe wanadai hawako tayari kulazimishwa kuchagua mtu ambaye hakua chaguo lao.
Uongo huo.
Halima MUST GO.
 
Back
Top Bottom