Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Mkuu ishu ni kuwa maamuzi yote yalitegemea mwenyekiti ameamkaje.
 
Gwajima ni mtoto wa dawa huwa ni muongo muongo tu

Kura yangu na familia yangu nampa Halima Mdee
 
Huna hata chembe ya aibu, mwongo mkubwa wewe!

Thibitisha tuone
 
Ndo tatizo kimfumo wajumbe wanapiga kura ila kuna jiwe la kukagua zile kura
 
CCM kawe walikosea sana kumpitisha gwajima km mgombea. Anamakandokando mengi sana.
Bahati ni kuwa Mdee nae hakubaliki kawe.
ACT wangechanga karata vizuri hilo Jimbo wangelichukua mapema sana, ila na wao wamelala usingizi wa pono.
 
Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Huyu akishinda ubunge nitakuwa babako wa kambo mimi!!
 
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.

P
Hivi ng'wanangwa huonagi aibu kabisa? Hutapata uteyuzi mpaka unakuta!
 
Mimi sio chadema lakini Gwajima anavyo tukana na kudhalilisha waislamu,,,,,,,,
Mimi, Familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki wote kura kwa Halima
Inn shaa Allah madrasa na misikiti yetu itakua salama
 
Ww utakuwa umekunywa K-Vanti ndiyo maana unaongea pombe pombe boya ww.
Umemfananisha Gwajima na huyo mwenyekigoda wenu Mbowe maana yeye ndiyo alikataliwa na wananchi na huyo Bibi yenu Halima tulimtimua kwenye kata yetu maana hakuna alichotufanyia zaidi ya ile kazi yake ya kukoboa.
R.I.P CDM JIMBO LA KAWE
 
CCM kawe walikosea sana kumpitisha gwajima km mgombea. Anamakandokando mengi sana.
Bahati ni kuwa Mdee nae hakubaliki kawe.
ACT wangechanga karata vizuri hilo Jimbo wangelichukua mapema sana, ila na wao wamelala usingizi wa pono.
So jimbo halitakuwa na mbunge
 
Wananchi ndio wenye kura kwa Kawe , Mdee bado Ni jembe la kulimia
 
Gwajima ndiyo kiboko wa Halima na safari hii atatokwa na jasho hadi la kwenye nanilihu yake maana hana sera wala hoja amepewa miaka 10 hakuna tulichokiona amekifanya Kawe barabara hakuna, shule mbovu, hospital ndiyo kabisa atakuja kutuambia utumbo gani ili tumchague?
Akatafute bwana aolewe sasa.
 
Kiukweli kwasasa CCM wala haifuati kanuni na misingi katika chama chao. Mengi wanayofanya, kwanza wanaangalia mwenyekiti anasemaje au anatakaje. Ukiangalia kwenye kupitisha wagombea mwaka huu, ili utaliona wazi wazi sana.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kumpa gwajima kura kwa kawe ni sawa na kukiuka misingi ya uanzishwaji wa ccm
 
Mimi sio chadema lakini Gwajima anavyo tukana na kudhalilisha waislamu,,,,,,,,
Mimi, Familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki wote kura kwa Halima
Inn shaa Allah madrasa na misikiti yetu itakua salama

Ukisikiliza hiyo clip Askofu Gwajima kawatukana Waislamu wote kwamba dini yao ni majini na wanatawala Bahari.

Wakatoliki ni wapinga kristo wanatawala nchi,wanaheshimika sana katika nchi.

Kwamba Walutheri,Waanglican,Morovian hawana nguvu ,hawana roho mtakatifu ... hawa kawatukana lakini wanaafadhali afadhali kidogo ukiwalinganisha na Wakatoliki na Waislam.
 
Halima Mdee siyo Makonda aliyekosa majibu na kujiachia achafuliwe na Gwajima sababu ya uchafu wake.
 
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.

P
Mbona wajumbe wanaomfaham walimkataa?unadhan wajumbe wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…