Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Umesahau, ktk video ameahidi kuibadili misikiti yetu mitukufu kuwa sunsau school pia aliwai kutuhumiwa kumla frola mbasha leo mgombea ccm
 
Mwenyewe umejitutumua kuandika naona unajipa matumaini wewe na wenzako ngoja nikwambie halima atumtaki kawe wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima na Gwajima atashinda kwa kishindo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe umejitutumua kuandika naona unajipa matumaini wewe na wenzako ngoja nikwambie halima atumtaki kawe wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima na Gwajima atashinda kwa kishindo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kama wanawake mmeamua kwenda na gwajima basi we lazima uwe yule binti gwajima alikuwa anamkatikia mauno
 
Lakini wewe jamaa mwongo hakuna mfano
 
Mkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.
Kama Gwajima ndio chaguo la Mungu kwa Kawe, akiibuka mtu kusema ni wrong choice, kwanini tukae kimya?.
P
Pascal ulisema 2020 upinzani umekufa JPM hana upinzani.

Umeona mpaka Mwenyekiti wako mpaka anapiga magoti jukwaani. Sisemi kwamba hata shinda ila chamoto anakiona hatosahau.
 
Naona utakuwa umetembelea kata ya Kawe ambayo haiko Dar es Salaam.

Aliyekataliwa waziwazi kwenye kata zote ni mgombea wa Chadema, Mdee.

Gwajima anakubalika kwenye kata zote, kwa rika zote.

Subiri Octoba 28 ndo utaona maamuzi ya watu wa jimbo la Kawe watakavyompa kura za kutosha Askofu Gwajima.
 
Wanaopiga kelele nyingi Gwajima atashinda ni Waumini wake, Wana CCM wengi wa Kawe hawamtaki.
Subiri uone atakavyoshinda kwa kishindo sijui utasema waumini wake ndio waliompigia kura peke yako maana Gwajima anakwenda kushinda kwa kishindo wanakawe tunamkubali Gwajima.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kawe asahau lazima mbaki naye kukata mauno kanisani
 
Wewe unajikuta unaongea kitu ambacho hukielewi tuulize sisi tutakuelezea yote kuhusu gwajima. Huyo tayari tushamchukua kawe kama unaona shida kwako hama kawe.

Na aloyemchagua akaacha wengine hajakosea kabisa nampa big up kabisaa
 
Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Kamati haikuwa huru na maamuzi full stop!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…