Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Wakumbushe mzee
 
mwenye nafasi kubwa yakushinda ni gwajiboy. Kawe washamchoka halima amekuwa mbunge kipindi kirefu Sana.
Atashinda ila hafai

Mheshimiwa kuna kitu kimekupita kando, kichwa cha habari Kamati kuu/ Halmashauri kuu walikosea kumpitisha Gwajima.

Kamati kuu/ Halmashauri kuu kumleta mgombea ubunge ambaye alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi ndani ya CCM maana yake wale wawili wa mwanzo pamoja kushinda lakini walikosa sifa nyingine za ziada ambazo Gwajima alikuwa nazo Ndio maana jina lake likapitishwa.

Askofu Gwajima ambae vikao vizito vya chama vilimpisha anatukana/kebei dini zingine.Kawe ina wakaazi wa dini zote WaIslam,Wakatoliki,Walutheri,Mirovian ambao ni wapiga kura.
 
Vikao vizito vya chama vimepitisha mtu mzito, hili litoshe kusema anastahili kushinda

Walikosea na kadri muda unavyokwenda baadhi ya wajumbe wa vikao hivyo wanazidi kujiweka kando na uamuzi huo ingawa walishiriki.
 
Walikosea na kadri muda unavyokwenda baadhi ya wajumbe wa vikao hivyo wanazidi kujiweka kando na uamuzi huo ingawa walishiriki.

Ninadhani wanaokosea ni nyie ambao mnashindwa kuamini maamuzi ya viongozi wenu wenyewe
 
Umekosea sana mkuu Paulo alipobadilika hakurudi tena nyuma huyu tumwite tu kinyonga ndiyo sifa yake kumfananisha na Paulo ni kufuru.
 
Kwa kusema tu kwamba CCM ni chama kizoefu na kikongwe unatakiwa kuelewa kwa uzoefu wake kilijua kinahitaji kiongozi jasiri kama Gwajima kwa ajili ya maendeleo ya Kawe...
Hana msimamo hatufai....HAUWEZI KUAPA MADHABAHUN KUWA UBUNGE SIYO SAIZI YAKO UBUNGE NI KUJISHUSHA UTABAKI KUMTUMIKIA MUNGU ALIYEHAI...Leo unagombea UBUNGE..GWAJIMA HATUFAI KAWE...HALIMA MDEE NDIYO KAWE NA KAWE NI HALIMA MDEE

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hukumu lazima itolewe mapema kulingana na matendo yako
Usihukumu, usije nawe ukahukumiwa. Juzi hapa tumemshuhudia akifanya tendo la kikristo na kijasiri kwa kwenda kujipatanisha na Kardinali Pengo aliyemkosea adabu hapo nyuma.
 
Askofu Gwajima ambae vikao vizito vya chama vilimpisha anatukana/kebei dini zingine.Kawe ina wakaazi wa dini zote WaIslam,Wakatoliki,Walutheri,Mirovian ambao ni wapiga kura.
Huu ni uongo, tumia correct tenses, Gwajima alitukana enzi zile za zamani na yalipita, yalikwisha. Kusema anatukana ni uongo wa mchana kweupe.

P
 
Huu ni uongo, tumia correct tenses, Gwajima alitukana enzi zile za zamani na yalipita, yalikwisha. Kusema anatukana ni uongo wa mchana kweupe.

P
Alitukana enzi zile..... alipokutana na shetani enzi zile, sasa hivi kakutana na Mungu eti! Huko mjengoni akilutana tena na shetani itakuwaje?
 
UMEANDIKA UJINGA TUPU! HAISHANGAZI UNAMWONA GWAJIMA ANASTAHILI..MISUKULE BWANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…