Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Kamati kuu msifanye kosa la kumjadili Bashiru "dogo" na hata kumfukuza uanachama kabla ya kujilidhisha Kuna nani nyuma yake na wana ajenda gani!
" Usichezee dola, chezea ndevu"- KOMANDOO, Dr. Salmin Amour Juma.
 
Hawa wajumbe huwa wapo sehemu moja , kuweza kuwakusanya kwa haraka namna hii? Au kuna namna hela na rasilimali za serikali zinatumika ??
Swali zuri sana.

Lakini sijui kama litapata jibu.

Hiki ni kikao cha dharura, na wajumbe watakuwa wametokea sehemu mbalimbali za nchi.
 
Kila siku vikao kuna nini ccm ya watoto wa mjini wajanja kama mnavyojiita? Huyo bibi si alikua manyara leo kwa wakulima? Hahahah raha sana
 
Wahakikishe wakitoka hapo wapo na kichwa cha bashiru
 
Wanamjadili MTU.

Wana watu wao hawawataki na sababu ishapatikana
IMG-20221123-WA0072.jpg
IMG-20221123-WA0071.jpg
 
Wamekubaliana wapige kimya kuhusu suala la Bashiru..... Tuendelee na mgao wa umeme na maji
 
Back
Top Bottom