Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Hiyo "Idadi ya kura za Mgombea Urais" imetambuliwa rasmi na chama? Inakubalika?That is not an offer , ni haki yao ya kikatiba , labda waamue kuiacha tu kwa sababu ya mikakati ya kisiasa , lakini hawajapewa na mtu , hii imepatikana kutokana na idadi ya kura za mgombea wao wa Urais
Ikiwa chama kimekubaliana na yale matokeo ya kura alizopatiwa Lissu na ile Tume ya MFUKONI ya Jiwe, sisi ni akina nani tuendelee kujadili hili au kupinga?