Wazo la kijinga, hujui hata kanuni za uchaguzi zinasemaje mataga.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo la kijinga, hujui hata kanuni za uchaguzi zinasemaje mataga.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Walililea joka sasa linataka kuwaangamiza.Ni kweli kabisa na Lisu alikataa kabisa wito wa tume ya maadili akasema yeye anaendelea na kampeni kamati ya Chadema ndio ikamlazomisha kuwa lazima atii afike Dar es salaam ajieleze mbele ya tume yeye Kama yeye na matamshi yake
Kwa jeuri alipofika Dar akagoma kwenda tume akawaambia sitaki siendi amueni lolote
Kamati wakaona Kuna hatari huyu asipoenda italeta shida kubwa kwa chama ndipo wakatuma mawakili waende kunusuru chama
Maamuzi yalipotoka asifanye kampeni siku Saba akaenda vyombo vya habari kusema hatambui bila kuwasiliana na kamati kuu
Ikabidi Tena kamati kuu imwambie wewe Sasa inatakiwa tukujadili kamati kuu usiendelee na kampeni mpaka sisi kamati kuu tutoe tamko letu
Allitwa kikaoni kikao Cha kamati kuu akajieze kakataa akawaambia amueni lolote I don't care ndio maana kamati imechelewa kutoa tamko Kuna issues very hot za ku sort out
Duuh! Mgombea yuko juu ya chama Sasa?Ni kweli kabisa na Lisu alikataa kabisa wito wa tume ya maadili akasema yeye anaendelea na kampeni kamati ya Chadema ndio ikamlazomisha kuwa lazima atii afike Dar es salaam ajieleze mbele ya tume yeye Kama yeye na matamshi yake
Kwa jeuri alipofika Dar akagoma kwenda tume akawaambia sitaki siendi amueni lolote
Kamati wakaona Kuna hatari huyu asipoenda italeta shida kubwa kwa chama ndipo wakatuma mawakili wawili waende kunusuru chama
Maamuzi yalipotoka asifanye kampeni siku Saba akaenda vyombo vya habari kusema hatambui bila kuwasiliana na kamati kuu
Ikabidi Tena kamati kuu imwambie wewe Sasa inatakiwa tukujadili kamati kuu usiendelee na kampeni mpaka sisi kamati kuu tutoe tamko letu
Allitwa kikaoni kikao Cha kamati kuu akajieleze kakataa akawaambia amueni lolote I don't care ndio maana kamati imechelewa kutoa tamko Kuna issues very hot za ku sort out
Lisu anawapanda vichwani Hadi kamati kuu ya Chadema Yuko so arrogantDuuh! Mgombea yuko juu ya chama Sasa?
Ni kweli kabisa na Lisu alikataa kabisa wito wa tume ya maadili akasema yeye anaendelea na kampeni kamati ya Chadema ndio ikamlazomisha kuwa lazima atii afike Dar es salaam ajieleze mbele ya tume yeye Kama yeye na matamshi yake
Kwa jeuri alipofika Dar akagoma kwenda tume akawaambia sitaki siendi amueni lolote
Kamati wakaona Kuna hatari huyu asipoenda italeta shida kubwa kwa chama ndipo wakatuma mawakili wawili waende kunusuru chama
Maamuzi yalipotoka asifanye kampeni siku Saba akaenda vyombo vya habari kusema hatambui bila kuwasiliana na kamati kuu
Ikabidi Tena kamati kuu imwambie wewe Sasa inatakiwa tukujadili kamati kuu usiendelee na kampeni mpaka sisi kamati kuu tutoe tamko letu
Allitwa kikaoni kikao Cha kamati kuu akajieleze kakataa akawaambia amueni lolote I don't care ndio maana kamati imechelewa kutoa tamko Kuna issues very hot za ku sort out
Ngoja tuone leochadema walishamkana lissu kwamba hawahusiki na matamshi yake
itakua too lateNgoja tuone leo
Jamaa anatukana wakurugenzi na mapolisi mbele ya hadhara ili akiguswa tu bwana Amsterdam aongee upuuzi.CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.
Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Umeprove kitu kimoja, kuwa wewe ni MPUMBAVU.Basi Mshaurini atoke leo.
Tuone aliyempumbavu kati yetu. Hamuwezi kushika nchi nyie , huo ndio ukweli na Upasuke. Hata Yesu aje, hamuwezi kushika Dola. Dola ni ya CCM for Life. So Chill and
Swallow the bitter truth , Caint!