Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Wazo la kijinga, hujui hata kanuni za uchaguzi zinasemaje mataga.
 
Walililea joka sasa linataka kuwaangamiza.
 
Duuh! Mgombea yuko juu ya chama Sasa?
 

Siku hizi unakaribishwa kwenye vikao vya CDM?

Wewe si ulikuwa Zanzibar ukihangaika na simu hata kwenye kumuombea dua marehemu?

Ya CDM umeyapata wapi chakubanga wewe?
 
Ngoja tuone leo
itakua too late
walitakiwa wasimame na mgombea wao tokea siku waliopewa barua,lakini kwa dharau kabisa wakaiambia tume hawahusiki,leo watatoa tamko koko tu,mgombea analala nyumbani
Kiufupi chadema wamemuhujumu Lissu
 
CHADEMA ishamshtukia Lissu ndio maana kina Mbowe wamejitenga na yeye.

Mbowe anajuta kumpa Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA maana chama linaenda kujifia October
Jamaa anatukana wakurugenzi na mapolisi mbele ya hadhara ili akiguswa tu bwana Amsterdam aongee upuuzi.

Hii mitego ni ya kimataifa lakini kwa Tanzania ya Nyerere haitaweza kufanikiwa hata siku moja.
 
Basi Mshaurini atoke leo.

Tuone aliyempumbavu kati yetu. Hamuwezi kushika nchi nyie , huo ndio ukweli na Upasuke. Hata Yesu aje, hamuwezi kushika Dola. Dola ni ya CCM for Life. So Chill and
Swallow the bitter truth , Caint!
Umeprove kitu kimoja, kuwa wewe ni MPUMBAVU.

Nilisema kama wewe siyo mpumbavu hutonitag tena utajua mimi siyo mpumbavu mwenzio, umenitag sababu wewe ni PUMBAVU.

Adios
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…