Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Yericko akikutana na hao jamaa sijui atajisikiaje? Halafu mkipotezwa mnamlaumu Bashite.Vijana acheni ukuda.
Unaendelea kumuumiza Bashite mwache mwezio anawaza jinsi ya kukiepuka kikombe hiki.
 
Chakubanga wote njooni hapa
 
Ukimsikiliza Komu katika kuomba radhi utatambua kuwa HAJUTI walichofanya isipokuwa anajuta kwa nini stori zimevuja. Bado kuna rotten apples ndani ya chadema.
Ndiyo maana ya kuwekwa chini ya uangalizi maalumu kwa kipindi cha mwaka mmoja.
 
Hongera kamati kuu ccm walidhani watafukuzwa imekula kwao
 
Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
 
Kipindi kile ishu ya Lissu inatokea kulikuwa na mvutano wa nani agombee urais 2020

Lowassa alisha ahidiwa sababu kakibeba chadema vyema 2015 na alitangaza kuwa atagombea tena 2020.

Lissu alikuwa anashinikizwa kugombea na watu kama Sumaye,Lema,Kubenea,Mdee walikuwa wameongea wazi kuwa yeye ndo anamvuto kwa sasa so 2020 iwe zamu yake.

Hamfikilii kuwa kundi fulani lilitumia mwanya wa tofauti kati ya Lissu na serikali kufanya attempt ile ya kuchukua uhai wa Lissu?
 
Nafurahi kuwa hawakufukuzwa. Wapewe nafasi ya kujirud. CCM wasipewe nafasi ya kusherehekea. MAAMUZI YA BUSARA KUBWA
 
Mkuu ulizaliwa lin mbona hata hao wamebadilisha walikuwa na mtei bob makan na huyo aliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…