Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hana mshipa wa aibu huyu jasusi uchwara.Ulipamba uchafuzi wote kwa hawa jamaa, na hukumu ingefata kile ulichokuwa umekiandika, Wallahi, ungekuwa sasa unashangilia, lkn tunajua unataka hako kajimbo ka ubungo ila next time usioneshe chuki za wazi wazi kwa wenzako kma ulivyo fanya kwa kuwavua nguo. Haya, hukumu ya msamaha imetoka wataonekanaje kwa wananchi kwa uchafu uliowandikia? Utawasafishaje?