G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
Lazima ailete kivingine, na usishangae akaipongeza kamati kwa maamuz ya kuwasamehe.Alivyo zezeta wa kisiasa atabadili tena habari...yani anakua kama sio yeye

Mshindi ni Chadema.Hakuna neno zaidi ya kubenea na komu ni washindi!
Mnyika:
Wahusika walifika mbele ya Kamati Kuu na kujieleza. Walikiri kuwa sauti zilizosikika ni zao na Kamati Kuu iliwahoji kwa muda mrefu.
Kamati Kuu ya Chama imefikia maamuzi kuhusiana na hili. Wamekutwa na hatia ya ukiukwaji wa Katiba ya Chama na Taratibu zake.
Wamepewa Onyo na kutakiwa kuandika barua ya kuomba radhi kwa chama na wanaotajwa kwenye Clip iliyosambaa.
Kamati Kuu imeamua kuwaweka kwenye kipindi cha uangalizi wa mwaka mmoja juu ya mienendo yao.
CHADEMA imeamua kuwavua nafasi zao zote za uongozi ndani ya chama na kubaki na nafasi ya uwakilishi wa wananchi tu (Ubunge).
Kubenea:
Nachukua nafasi hii kusema kuwa yaliyotokea ilikuwa bahati mbaya sana na hatukuwa na nia ovu yoyote. Naomba radhi sana kwa wanachama na watanzania wote kwa kilichotokea
Komu:
Nachukua nafasi hii kukishukuru chama kwa kulipa uzito suala hili; nakubali kuwa chama ni kikubwa kuliko sisi wote. Chama kina mikono yake. Baada ya Kamati Kuu kukaa na kutafakari yote yaliyotokea, kimeelekeza kama ilivyoazimia! Nitayatekeleza yote yaliyoelekezwa mara moja. Naomba radhi kwa chama, wanachama na watanzania kwa ujumla.
Mazungumzo yale yalikuwa ya faragha lakini teknolojia ilinizidi ujanja; nawaomba radhi Mh. Mbowe na Meya Boniface kwa kilichotokea. Tunataka tuanze upya.
MASWALI:Kwanini kila inapofikia karibu na Uchaguzi Mkuu huwa chama chenu kinaibuka na matatizo kuhusu nafasi ya Uenyekiti?
Kubenea, kwanini uliandika suala la Ben Saanane kwenye gazeti lako kwa mtindo ule?
Kubenea na Komu, wakati chama chenu kina changamoto tunazoziona; mmepata wapi ujasiri wa kupanga haya dhidi ya wenzenu ndani ya chama?
Kama wabunge walikuwa wakipanga kumhujumu Mwenyekiti wao na Meya wao, chama kinajipangaje juu ya hili?
Kubenea na Komu, wakati mnapanga haya - mlikuwa mmelewa?
Je, Mbowe kama mhusika kwenye clip alipisha wakati wa mjadala?
Mnyika, kuna chuki kati ya Jacob na Kubenea?
Kubenea, kuna tetesi zinazoashiria una mpango wa kuhamia CCM; haiwezekani kuwa hii clip inaashiria kuwa uko njiani kuhama?
MAJIBU:
Komu: Hakuna shida kubwa iliyoonekana kwenye Kamati Kuu. Suala la kudhuru ni suala la jinai. Kilichopelekea kuonekana tuna mpango wa kumdhuru mtu ni kwa sababu clip ilitoka kwa bahati mbaya. Mtu angesikiliza maongezi yote angeona kuwa hakukuwa na dhamira ya kumdhuru mtu. Wewe ukigonga gari nyuma, ikawa breki ndizo zilikatika, huwezi kukwepa kuwa ni kosa.
Komu: Hatukuwa na dhamira ya kumdhuru mtu. Tulikuwa very sober, ni kuwa tulikuwa tunajadili hoja flani tuliyokutana nayo na ndio kilichotufikisha kwenye maongezi yale.
Komu: Suala la ruzuku nilishaliongelea mara nyingi huko nyuma; tunaye auditor na hata zipo ripoti za CAG. Nilisema, kama kuna mtu ana wasiwasi wa matumizi wa fedha za ruzuku (ambazo ni za umma), basi hiyo ndio ilikuwa hoja yetu (kuwa ungefanywa uhakiki).
Kubenea: Kuhusu suala la Ben Saanane - nimesikitika, mimi ni mmiliki wa gazeti. Aga Khan hawezi ulizwa kuhusu suala lililoandikwa na gazeti la Mwananchi. Mimi ni mmiliki, japo ni mwandishi. MwanaHALISI ina wahariri wake na wala sikuandika mimi story hiyo. MwanaHALISI inafuata misingi ya uandishi na ni gazeti 'serious'. Suala hilo waulizwe wahariri wa gazeti hilo na sihusiki na gazeti hilo.
Kubenea: Wapo vijana flani, wapo kwenye mitandao ya kijamaa ambao wanatumika kukichafua chama.
Kubenea: Kuhusu kuhama chama - Mimi ni imara sana! Ningekuwa legelege nisingeenda Kamati Kuu, walioondoka hata hawakuitwa Kamati Kuu, walikimbia wenyewe. Wambieni CCM - Sifanani nao!
Kubenea: Kuhusu Meya Jacob - Mimi ni Mbunge wa Ubungo, Jacob ni Meya wa Ubungo. Hatuna mgogoro na Jacob, tunafanya kazi pamoja na kushirikiana bila shida yoyote.
Kubenea: Meya Jacob ni miongoni mwa marafiki zangu wa karibu
Mnyika: Nimekuwepo kwenye chama tangu 2004, nimeziona chaguzi kadhaa ndani ya chama; ningeomba waandishi mfanye uchunguzi juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu - hayajajadiliwa nyakati za uchaguzi tu. Anatoa maelezo kufafanua... Jambo hili lisionekane linatokea nyakati za uchaguzi. Katika vyama vingi vya siasa, tuhuma zinapotokea jambo la kutazama ni maamuzi ya chama yanapotokea mambo kama hayo.
Mnyika: Ukubwa ni Jalala, kitendo cha Mbowe kuwa kiongozi wetu, yeye ndiye mashambulizi mengi huelekezwa kwake. Ndo maana hata CCM wakifanya mashambulizi kwa CHADEMA humlenga Mwenyekiti wa chama. Wakati wote tunakuwa mstari wa mbele kama wanachama kumlinda Mwenyekiti wetu kwakuwa tunaujua mchango wake kwa chama katika safari ya kuiondoa CCM Madarakani.
Mnyika: Ile clip iliyosambaa, Mwenyekiti hakuwa mlalamikiwa, mlalamikaji wala mtuhumiwa. Hivyo, alishiriki kikao cha chama. Taarifa ya wabunge hawa iliwasilishwa na Katibu Mkuu wa chama, sitaingia kwa undani juu ya kilichotokea Kamati Kuu. Mwenyekiti hakuongoza mwenendo wa mahojiano, niliongoza mimi kwakuwa sisi ndio tulikuwa na hoja hii.
Mnyika: Kamati Kuu ilijiridhisha kuwa waheshimiwa walifanya makosa na ndio maana imechukua maamuzi haya. Wameandika barua za kuomba radhi na watakuwa kwenye uangalizi juu ya mienendo yao kwa miezi 12. Ni funzo kwa wengine kuwa wazingatie Katiba na Kanuni za Maadili za chama; yeyote atakayekiuka atawajibishwa.
Soma=>Wabunge Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini), wahojiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA - JamiiForums
Walioomba radhi wameomba radhi, tatitzo lako ni nini? au kwa sababu ulichotarajia hakikutokea? CHADEMA ijifunze kwa CCM? haya, Nyerere alikalia uenyekiti wa chama kwa miaka mingapi? anzia TANU halafu njoo CCM. lakini pia, uenyekiti wa CCM unaendana na urais. Mwenyekiti wa CHADEMA siyo rais wa nchi. Mwenyekiti wa CCM anaondoka ili kumpa nafasi rais ashike kofia zote mbili. siyo kwa kulazimishwa na kanuni bali ni utaratibu au mila za CCM tu. katiba ya CHADEMA iko wazi kabisa. NINI KINACHOKUWASHA?Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Mkuu wako chini ya uangalizi wa karibu kwa mwaka mmoja.Mazungumzo yale yalikuwa ya faragha lakini teknolojia ilinizidi ujanja; nawaomba radhi Mh. Mbowe na Meya Boniface kwa kilichotokea. Tunataka tuanze upya
HAPA BADO KUNA TATIZO NAHISI KUNA KITU NYUMA YA PAZIA KATI YA KOMU NA KUBENEA.NAWAZ TU KAMA HIYO CLIP ISINGEKAMATWA KINGETOKEA NINI???!!
Chadema imejaa udikteta tupuWalioomba radhi wameomba radhi, tatitzo lako ni nini? au kwa sababu ulichotarajia hakikutokea? CHADEMA ijifunze kwa CCM? haya, Nyerere alikalia uenyekiti wa chama kwa miaka mingapi? anzia TANU halafu njoo CCM. lakini pia, uenyekiti wa CCM unaendana na urais. Mwenyekiti wa CHADEMA siyo rais wa nchi. Mwenyekiti wa CCM anaondoka ili kumpa nafasi rais ashike kofia zote mbili. siyo kwa kulazimishwa na kanuni bali ni utaratibu au mila za CCM tu. katiba ya CHADEMA iko wazi kabisa. NINI KINACHOKUWASHA?
Mnyika:
Wahusika walifika mbele ya Kamati Kuu na kujieleza. Walikiri kuwa sauti zilizosikika ni zao na Kamati Kuu iliwahoji kwa muda mrefu.
Kamati Kuu ya Chama imefikia maamuzi kuhusiana na hili. Wamekutwa na hatia ya ukiukwaji wa Katiba ya Chama na Taratibu zake.
Wamepewa Onyo na kutakiwa kuandika barua ya kuomba radhi kwa chama na wanaotajwa kwenye Clip iliyosambaa.
Kamati Kuu imeamua kuwaweka kwenye kipindi cha uangalizi wa mwaka mmoja juu ya mienendo yao.
CHADEMA imeamua kuwavua nafasi zao zote za uongozi ndani ya chama na kubaki na nafasi ya uwakilishi wa wananchi tu (Ubunge).
Kubenea:
Nachukua nafasi hii kusema kuwa yaliyotokea ilikuwa bahati mbaya sana na hatukuwa na nia ovu yoyote. Naomba radhi sana kwa wanachama na watanzania wote kwa kilichotokea
Komu:
Nachukua nafasi hii kukishukuru chama kwa kulipa uzito suala hili; nakubali kuwa chama ni kikubwa kuliko sisi wote. Chama kina mikono yake. Baada ya Kamati Kuu kukaa na kutafakari yote yaliyotokea, kimeelekeza kama ilivyoazimia! Nitayatekeleza yote yaliyoelekezwa mara moja. Naomba radhi kwa chama, wanachama na watanzania kwa ujumla.
Mazungumzo yale yalikuwa ya faragha lakini teknolojia ilinizidi ujanja; nawaomba radhi Mh. Mbowe na Meya Boniface kwa kilichotokea. Tunataka tuanze upya.
MASWALI:Kwanini kila inapofikia karibu na Uchaguzi Mkuu huwa chama chenu kinaibuka na matatizo kuhusu nafasi ya Uenyekiti?
Kubenea, kwanini uliandika suala la Ben Saanane kwenye gazeti lako kwa mtindo ule?
Kubenea na Komu, wakati chama chenu kina changamoto tunazoziona; mmepata wapi ujasiri wa kupanga haya dhidi ya wenzenu ndani ya chama?
Kama wabunge walikuwa wakipanga kumhujumu Mwenyekiti wao na Meya wao, chama kinajipangaje juu ya hili?
Kubenea na Komu, wakati mnapanga haya - mlikuwa mmelewa?
Je, Mbowe kama mhusika kwenye clip alipisha wakati wa mjadala?
Mnyika, kuna chuki kati ya Jacob na Kubenea?
Kubenea, kuna tetesi zinazoashiria una mpango wa kuhamia CCM; haiwezekani kuwa hii clip inaashiria kuwa uko njiani kuhama?
MAJIBU:
Komu: Hakuna shida kubwa iliyoonekana kwenye Kamati Kuu. Suala la kudhuru ni suala la jinai. Kilichopelekea kuonekana tuna mpango wa kumdhuru mtu ni kwa sababu clip ilitoka kwa bahati mbaya. Mtu angesikiliza maongezi yote angeona kuwa hakukuwa na dhamira ya kumdhuru mtu. Wewe ukigonga gari nyuma, ikawa breki ndizo zilikatika, huwezi kukwepa kuwa ni kosa.
Komu: Hatukuwa na dhamira ya kumdhuru mtu. Tulikuwa very sober, ni kuwa tulikuwa tunajadili hoja flani tuliyokutana nayo na ndio kilichotufikisha kwenye maongezi yale.
Komu: Suala la ruzuku nilishaliongelea mara nyingi huko nyuma; tunaye auditor na hata zipo ripoti za CAG. Nilisema, kama kuna mtu ana wasiwasi wa matumizi wa fedha za ruzuku (ambazo ni za umma), basi hiyo ndio ilikuwa hoja yetu (kuwa ungefanywa uhakiki).
Kubenea: Kuhusu suala la Ben Saanane - nimesikitika, mimi ni mmiliki wa gazeti. Aga Khan hawezi ulizwa kuhusu suala lililoandikwa na gazeti la Mwananchi. Mimi ni mmiliki, japo ni mwandishi. MwanaHALISI ina wahariri wake na wala sikuandika mimi story hiyo. MwanaHALISI inafuata misingi ya uandishi na ni gazeti 'serious'. Suala hilo waulizwe wahariri wa gazeti hilo na sihusiki na gazeti hilo.
Kubenea: Wapo vijana flani, wapo kwenye mitandao ya kijamaa ambao wanatumika kukichafua chama.
Kubenea: Kuhusu kuhama chama - Mimi ni imara sana! Ningekuwa legelege nisingeenda Kamati Kuu, walioondoka hata hawakuitwa Kamati Kuu, walikimbia wenyewe. Wambieni CCM - Sifanani nao!
Kubenea: Kuhusu Meya Jacob - Mimi ni Mbunge wa Ubungo, Jacob ni Meya wa Ubungo. Hatuna mgogoro na Jacob, tunafanya kazi pamoja na kushirikiana bila shida yoyote.
Kubenea: Meya Jacob ni miongoni mwa marafiki zangu wa karibu
Mnyika: Nimekuwepo kwenye chama tangu 2004, nimeziona chaguzi kadhaa ndani ya chama; ningeomba waandishi mfanye uchunguzi juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu - hayajajadiliwa nyakati za uchaguzi tu. Anatoa maelezo kufafanua... Jambo hili lisionekane linatokea nyakati za uchaguzi. Katika vyama vingi vya siasa, tuhuma zinapotokea jambo la kutazama ni maamuzi ya chama yanapotokea mambo kama hayo.
Mnyika: Ukubwa ni Jalala, kitendo cha Mbowe kuwa kiongozi wetu, yeye ndiye mashambulizi mengi huelekezwa kwake. Ndo maana hata CCM wakifanya mashambulizi kwa CHADEMA humlenga Mwenyekiti wa chama. Wakati wote tunakuwa mstari wa mbele kama wanachama kumlinda Mwenyekiti wetu kwakuwa tunaujua mchango wake kwa chama katika safari ya kuiondoa CCM Madarakani.
Mnyika: Ile clip iliyosambaa, Mwenyekiti hakuwa mlalamikiwa, mlalamikaji wala mtuhumiwa. Hivyo, alishiriki kikao cha chama. Taarifa ya wabunge hawa iliwasilishwa na Katibu Mkuu wa chama, sitaingia kwa undani juu ya kilichotokea Kamati Kuu. Mwenyekiti hakuongoza mwenendo wa mahojiano, niliongoza mimi kwakuwa sisi ndio tulikuwa na hoja hii.
Mnyika: Kamati Kuu ilijiridhisha kuwa waheshimiwa walifanya makosa na ndio maana imechukua maamuzi haya. Wameandika barua za kuomba radhi na watakuwa kwenye uangalizi juu ya mienendo yao kwa miezi 12. Ni funzo kwa wengine kuwa wazingatie Katiba na Kanuni za Maadili za chama; yeyote atakayekiuka atawajibishwa.
Soma=>Wabunge Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini), wahojiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA - JamiiForums
Udikteta uko wapi, watu wameitwa wamesikilizwa wamekiri wamesamehewa ulitakaje.Chadema imejaa udikteta tupu
Acha kulialia yachadema waachie wenyewe Ila kama unawashwawashwa unatafuta mme lia nao huenda utafanikiwa.Chadema baada ya kuishiwa hoja mmeanza kutuletea maigizo ya kutafuta kiki
Pole ulivyotegemea imekuwa ndivyo sivyo.Nilisema cdm imekaa kibiashara hawawezi thubutu kufukuza mbunge na kupunguza ruzuku ya chama. Hao wanaotoka ingewezeka kuwafunga mnyororo wangefanya hivyo.
Je kuhusu huyo mashavu kubwa waliyekua wanamjadili ni kweli hafai? Huyo jacob ni wale watu kwa kuzaliwa wakorofi wabishi na wabinafsi. Hafai kuongoza chochote. Ni kama lissu ila lissu msomi na jacob ni mjinga tu. Watu wa aina hiyo kwenye ubishi hata ukikubaliana nao wataendelea kukupinga hivyo kupinga hata kile walichokua wanadai ndio sawa.
Hao wote wa ccm unaodai wamebadilishana uenyekiti wamewahi kuwa marais wa nchi hii, sasa unataka Mbowe aachie wakati bado hajawa rais??Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Uhuru una mipaka, naona umeumia sana kwa kutofukuzwa pole.Huku ni kuminya Uhuru wa kutoa maoni .
Haiwezekani kila anayekuja na mawazo mbadala anakumbana na adhabu kali namna hii.
Watu wote wataogopa kitakachobaki ni ndiyo mzee kwa kila kitu.
Mbowe acha udikteta
asante Quinine, unajua nami nilikuwa nadhani amount ya ruzuku inategemea idadi ya wabunge in a particular month of payment!Ruzuku hapungui kwa mbunge kujiuzulu wewe mburula.
yaani sikujua kama hawa jamaa wana michezo hiyo, kumbe ben nae sasa tuwatuhum waoSaid Kubenea na Antony Komu Wamekiri kuwa ile audio ilikuwa kweli na mpango wao ni sawa.
Je Wangefanikiwa Je Tungesema ni serikali.?Je chadema wangekuja hadharani kuwaammbia wananchi kuwa ni michezo yao ndani ya chama ya siku Nyingi.?
Tuzidi Kumwombea Jpm Atunze amani ya nchi na Taifa.
Kuletwa kwa Jpm Ndani ya Taasisi ya Urais Ni Makusudi ya Mwenyezi Mungu.
Acha hizo! Mungu hawezi kuleta dictator!Said Kubenea na Antony Komu Wamekiri kuwa ile audio ilikuwa kweli na mpango wao ni sawa.