Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Mkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
Mkuu huyo ni maiti kiakili hataweza kukujibu
 
"Kabla ya uamuzi wa Chama changu Chadema, ninaoamini ni asilimia 100% utakuwa wa heri kwa chama na tumaini jipya kwa umma, Ninachukua uamuzi binafsi kukipongeza chama changu Chadema kwa maamuzi haya magumu ya kitaasisi,

Hili liwe onyo kwa wengine wenye tabia ya usaliti tena usaliti wenye jinai... Ninashauri chama changu kiende mbele zaidi kwakuchukua hatua za kisheria kwakuwa usaliti wa Kubenea na Komu una jinai ndani yake" By Yeriko Nyerere...
Duh so sad
 
Unanikumbusha mwendawazimu mmoja niliewahi kumuona Bunda stendi ya zamani miaka mingi kidogo. Yule kichaa alikuwa 'muongoza' magari pale stendi. Liwe linatoka, kuingia, kurudi nyuma yote 'aliyaongoza' ingawa hakuna dereva alomtilia maanani, isipokuwa wale walomwona kichekesho. Amen.
Kwahiyo wewe ndio yule.muongoza magari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fyekelea mbali maamluki hao! pambaf! tena waondoke wakaungane na wale 'ma-kaka poa' wengine.
 
Mazungumzo yale yalikuwa ya faragha lakini teknolojia ilinizidi ujanja; nawaomba radhi Mh. Mbowe na Meya Boniface kwa kilichotokea. Tunataka tuanze upya
HAPA BADO KUNA TATIZO NAHISI KUNA KITU NYUMA YA PAZIA KATI YA KOMU NA KUBENEA.NAWAZ TU KAMA HIYO CLIP ISINGEKAMATWA KINGETOKEA NINI???!!
 
Kwa Makosa Yalifanywa Na Kubenea na Komu Kupewa Onyo tu Haitoshi Nimegundua CHADEMA kuna Shida Sehemu Nimewaza Hapa Wameogopa Kuonekana Kila Anaepingana na Mbowe Anafukuzwa Kwenye Chama
Ulitaka wafukuzwe ili iweje.
 
"Kabla ya uamuzi wa Chama changu Chadema, ninaoamini ni asilimia 100% utakuwa wa heri kwa chama na tumaini jipya kwa umma, Ninachukua uamuzi binafsi kukipongeza chama changu Chadema kwa maamuzi haya magumu ya kitaasisi,

Hili liwe onyo kwa wengine wenye tabia ya usaliti tena usaliti wenye jinai... Ninashauri chama changu kiende mbele zaidi kwakuchukua hatua za kisheria kwakuwa usaliti wa Kubenea na Komu una jinai ndani yake" By Yeriko Nyerere...
Duh so sad
Mungu Amrehemu Yericko na michuki yake, Wallah.!
 
Huku ni kuminya Uhuru wa kutoa maoni .

Haiwezekani kila anayekuja na mawazo mbadala anakumbana na adhabu kali namna hii.

Watu wote wataogopa kitakachobaki ni ndiyo mzee kwa kila kitu.
 
Siasa ni karata 3 haya mambo yote yakusoma kuambiwa changanya na zako
Huu mchezo wa hii stori kubenea,komu ,nahadithi ilivyo yote toka mwanzo mwisho ni karata 3
 
Back
Top Bottom