Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Isije ikawa akina Komu na Kubenea wameomba radhi ili waandae mazingira yakuhamia kule CCM,hao waangalizi wawe makini hasa na teknolojia yao amabayo Komu kasema imewazidi ujanja.
Kwa sasa wako huru kuondoka huwezi kuwazuia ila watakuwa ndio wamejimaliza kisiasa.
 
Said Kubenea na Antony Komu Wamekiri kuwa ile audio ilikuwa kweli na mpango wao ni sawa.
Je Wangefanikiwa Je Tungesema ni serikali.?Je chadema wangekuja hadharani kuwaammbia wananchi kuwa ni michezo yao ndani ya chama ya siku Nyingi.?

Tuzidi Kumwombea Jpm Atunze amani ya nchi na Taifa.
Kuletwa kwa Jpm Ndani ya Taasisi ya Urais Ni Makusudi ya Mwenyezi Mungu.
Sitaki kukujibu maana unajua majibu.
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
Mkuu ukiingia kwenye nyumba ya mtu kwa lengo la kuiba fedha kisha ukakosa unaweza hata kubeba ufagio ili mradi tu lengo la wizi litimie
 
Tunazungisjwa tu vichwa..hapo ni ...

1. Kube na Komo washa ingizwa kwenye msafara wa safari...sasa wanaanza taratibu ...
Hapo fitina ndo washaianzisha itaendelea pole pole ...ila ndio mlango huo wa kutokea hapo kijanja ..... ......wanataka kutoka kivingine..wawaache watu na furaha....mkumbuke Kube alisema yeye haendi ccm so anaweza kujiuzulu tu .....janja hiyo....
2. Inawezekana pia ni janja ya kuzuia fikra potofu kwa cdm...ikibidi ionekane kuna wanachama mafia sawa ila chama hakihusiki na hayo!

Kwa siasa hizi.....maendeleo lazima aisee.....!
 
wewe ndiye unatafsiri hivyo but Jpm ni good person kwa mstakabali wa Taifa hili
Never on earth! Tafsiri hiyo for a knowledgeable person or even an informed one, by all measures and standards, he is a dictator! Hatubishani, tuwe wasomi ingawa hatujaenda shule, lakini hata sisi tunayaona pamoja na kutokwenda shule kwetu............just go through this list of indicators and then tell me ni kipi hajakifanya hapo!


10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator

1. Systematic efforts to intimidate the media.

2. Building an official pro-JPM media network. ..................... TBC1 inatangaza ya kwake tu!

3. Politicizing the civil service, military, National Guard, or the domestic security agencies.

4. Using government surveillance against domestic political opponents.

5. Using state power to reward corporate backers and punish opponents.

6. Stacking the Judiciary.

7. Enforcing the law for only one side.

8. Really rigging the system.

9. Fear mongering.

10. Demonizing the opposition.
 
asante Quinine, unajua nami nilikuwa nadhani amount ya ruzuku inategemea idadi ya wabunge in a particular month of payment!
Ruzuku inategemea idadi ya kura za rais na wabunge wakati wa uchaguzi mkuu, Idadi ya wabunge inaathiri Idadi ya wabunge wa viti maalumu.
 
Waombe radhi kwa kosa gani?

Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?

Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?

Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Nenda ukakune nazi, nakuona kichwani ni mweupe!
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imewavua nafasi zote za uongozi na kuwaweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu baada ya kukiri kuwa sauti zilisombaa katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita ni za kwao.

Sauti hizo ni zile ambazo wabunge hao wanasikika wakipanga namna ya kumshughulikia Meya wa Ubungo, Boniface Jacob huku Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, akitajwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Alhamini Oktoba 18, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, amesema hatua hizo zimechukuliwa baada ya wabunge hao kuhojiwa na kamati kuu na kukiri sauti hizo ambazo zilihusisha mazungumzo ya kuashiria utovu wa nidhamu ndani ya chama hicho ni za kwao.

“Tumewapa adhabu mbalimbali kwa mujibu wa kanuni 6.5 (d) za chama na kamati kuu iliwaita wabunge hao kuja kujibu tuhuma na walifika na kuhojiwa na walikiri mbele ya kamati kuu ya chama kuwa sauti zilizosikika ni zao.

“Tukafikia maamuzi ya kuwapa adhabu mbalimbali pamoja na kuwavua uongozi tuliwapa onyo kali na kuwataka waandike barua ya kuomba radhi kwa chama na kwa watu waliotajwa katika sauti hizo,” amesema Mnyika.
 
Back
Top Bottom