Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Kamati Kuu ya CHADEMA yawakuta na hatia Kubenea na Komu. Wavuliwa nyadhifa zote chamani na kupewa onyo

Kama Komu na Kubenea wamekiri kutoa ujumbe wa Sauti uliyo na jinai ndani yake maana yake wangefanikiwa kutimiza azima yako basi nadhani au nina uhakika wangesingizia Serikali.
 
Hawa wahuni sijui ni kwa nini wameachwa na kamati kuu waendelee kuwa kirusi lakini kubwa zaidi ikiwa walijituma hii si jinai na wamekiri? Iweje serikali ya ccm isiwachukulie hatua?
Hahahah... Huwa nasema hapa kila siku kwamba bavicha hata wake zenu mkigongewa mtalaumu ccm
 
Chama kwanza watu baadae, maamuzi ya Kamati kuu nimeyapokea kwa mikono miwili, ninayaunga mkono na ni mazuri sana kwa mstakabali wa chama chetu...

Poleni sana ccm kwa maumivu
mkuu kwanini nisiseme wewe ni bendera kifata upepo?

katika mada zote ulizoanzisha kuhusu jambo hili ulisisitiza wanapaswa wafukuzwe,

ukatoa na sababu za kufukuzwa kwao

leo maamuzi yametoka kinyume na ulivyotuaminisha umeamua kuyaunga mkono hivyo hivyo,

upi msimamo wako yeriko?
 
Fuatilia kumbukumbu vizuri.... Chama chetu ni chama cha haki, sio cha maagizo kama kileeee
Yericko Nyerere wewe ni tambala tu ndani ya chadema huna maana yoyote.

Inaonekana ule uropokaji wako kwa Fisadi Lowasa haukujifunza lolote.
 
Kama Komu na Kubenea wamekiri kutoa ujumbe wa Sauti uliyo na jinai ndani yake maana yake wangefanikiwa kutimiza azima yako basi nadhani au nina uhakika wangesingizia Serikali.
Na ndio maana wamewekwa kwenye uangalizi! Pengine kuna watu nje ya chama wako nyuma yao ili kuhakikisha jinai hiyo inafanikiwa
 
Nafikilia tu endapo C.C.M
au
Komu na Kubenea

Wangedukua mawasiliano ya Mbowe
 
Hapa ndipo ungeona utunzi bora wa hadithi za Yericko Nyerere


Kama Komu na Kubenea wamekiri kutoa ujumbe wa Sauti uliyo na jinai ndani yake maana yake wangefanikiwa kutimiza azima yako basi nadhani au nina uhakika wangesingizia Serikali.
 
Mbona hamtaki msaada wa kiupelelezi kutoka nje?

Mbona spika na serikali ilizima hoja za wabunge ili kulijadili hili bungeni?

Achana na hadithi zako za Alfu Lela ulela
Msaada wa nje unahitajika kama wa ndani wameshindwa.
Kwenye hili hawajashindwa ila wanakosa ushirikiano toka kwa Walioumizwa (chadema)
 
CHADEMA kuna usanii fulani wanafanya
Inshort CHADEMA wameamua Ku counter nankufanya Siasa za kwenda Sambamba na CCM
I like that
 
C.I.A wa chadema vipi baada ya hapo mda wa ruzuku ukiisha bado tutakuwa nao Said na Komu.

Je baada ya hapo nani atafuata?





"Ngoja nivae uhusika wa zitto"

Chama kwanza watu baadae, maamuzi ya Kamati kuu nimeyapokea kwa mikono miwili, ninayaunga mkono na ni mazuri sana kwa mstakabali wa chama chetu...

Poleni sana ccm kwa maumivu
 
Back
Top Bottom