Ni jambo jemaSijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Sidhani Hashim kama ataelewa mgalatia 🐼..mgombea mwenza awe Mbowe.
Unapiga kura ?Kura yangu nitampa Mpina.
Lazima nipige kura.Hata nisipopiga mshindi atapatikana tu.Si bora hata niongeze kura kwa Mpina.Unapiga kura ?
Daaah..... Mamaaaae walai ....Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.