kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
mwaka huu uchaguzi haupo
kwahiyo tuchague mpemba tena, kha hivi huwa mnatuonaje?Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Hicho chama burian.Mzanzibari again!Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.