Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Inawezeka kuwa yeye akaaa Makamu w RaisKumbe yule jamaa alisema kweli. Kuwa Mbowe hawezi kuhamia CHAUMMA.
Inawezeka kuwa yeye akaaa Makamu w RaisKumbe yule jamaa alisema kweli. Kuwa Mbowe hawezi kuhamia CHAUMMA.
Mwalimu awe mgombea Urais?Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Ngombe mwenzaSijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Wajinga wajinga ndio mmekaa mnamlisha maneno Mbowe. Mbowe ni tajiri kabla hajazaliwa na atakufa akiwa tajiri. Tafuteni hela muache gubu la kuwasema wengine na kuacha kuwapeleka watoto wenu shule za Kata mkitegemea Serikali iwalelee watoto wenu!Kumbe yule jamaa alisema kweli. Kuwa Mbowe hawezi kuhamia CHAUMMA.
2020 alikuwa mgombea mwenza wa Lissu, hushangai?Mwalimu awe mgombea Urais?
Anaweza akahamia na akapishwa,hujaona maigizo ya ACTKumbe yule jamaa alisema kweli. Kuwa Mbowe hawezi kuhamia CHAUMMA.
What a Move...!!! Ukichimama nchale...!Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Mbavu zangu! 🤣 Yaani yule malaya mkubwa sharobaro wa kizanzibari ndiye awe rais wa Tanzania? Labda rahisi na siyo rais.Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Trending dramas on the moveSijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Huyo amehakikishiwa kuwa Lissu atahukumiwa kunyongwa hadi afe na yeye atarudi kuchukua kikoba chake na ndiyo maana amekubali kuwa shahidi mkuu wa upande wa Jamhuri. Alaaniwe Mbowe na uzao wake wote.Mbowe katema bungo.
Lazima abaki mtu wa kuendelea kubangua mti kwa ndaniSijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.