Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Lumumba hakuna ukumbi manaseee mwendo ni ule ule wa vikao vya chama kufanyikia ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba hakuna ukumbi manaseee mwendo ni ule ule wa vikao vya chama kufanyikia ikulu
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan...
Wewe na Gwajima mna akili fupi. Kama hutaki chanjo ndio utumie uongo kudanganya vilaza wenzako? Anawaambia watakuwa ma-zombie wapi aliwahi kusikia au kuona zombie hapa duniani? Yani alivyo kilaza anatazama Hollywood kinachoigizwa kule anajua kipo in reality siku nyingine atawaambia watakuwa dragon au vampireNaona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!
Huo upotoshaji wa Gwajima unatoka wapi ikiwa anachokikosoa Ni hiari ya mtu kukipata?...
Anataka watu wakakanyagane kwenye kituo cha chanji!Naona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!...
Dodoma kukame sana kusema ukweli.Huyu mama seems kesharudisha makao Dar.
Hii nchi tutafika tumechoka sana!Huyu mama seems kesharudisha makao Dar.
Sasa arudi kwenye utapeli wake
Mikutano ya kichama inafanyiki ikulu!!Dah....safari ni ndefu sanaaa
Nchi imeoza, mikutano kila siku matunda ya mwungano hayoSitaki kujua walichokwenda kujadili ila ninajiuliza kwanini mikutano ya chama unakwenda kufanyikia ikulu?
Kama mtangulizi wa Mama alikuwa anavunja katiba haihalalishi naye aendelee kuivunja...