[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli our hero. Tunamshukuru Mungu kwa hii zawadi. Pumzika mahala pema Babalao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli our hero. Tunamshukuru Mungu kwa hii zawadi. Pumzika mahala pema Babalao.
Walisema upinzani ni corona wao ndo wanaishaKumbe CCM na wao huwa wanakufa...
Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.
Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Ulienda nini huko? Tuambie pakoje.Chanjo wamepewa watu million 17 na...
Membe alifutwa uwanachama wa CCM au alihama mwenyewe?Membe asingekimbia goli lilikuwa limebakia wazi kwake
Si ndo aliondolewa kipindi kileeee?!!!.Prof Assad huyu mtu msisahau katika top layer za uongzi serikalini, anafaa sana
Unamaanisha nini?Sukuma land awaamini dunia imevaa bukta.
Wale waganga njaa wa simiyu vipi kulikoni wapemba wamezidi kete.Ndumba za kwenye miti na ndumba za maji chumvi hii vita ni hatari.vuta nikuvute
CAG baada ya kumaliza term yake haajiriki popote serikalini. Ndivyo utaratibu ulivyo.Prof Assad huyu mtu msisahau katika top layer za uongzi serikalini, anafaa sana
Yuko sawa tu ni muendelezo wa maombolezo maana wiki moja ilishapita tangu ......!.Kumbe mama alichemka badala ya siku 21 za katiba akasema 14 yaani coordination ni kitu muhimu sana aisee
Nakuunga mkono kabisa yaniMfukuzeni bashiru ni kirusi,mabaki ya jiwe yote fukuza.
Siku 21 mnamfufua mana gwajima anasubiria hiyo kazi ya kumfufuaKamati kuu ya CCM itakutana kwa dharura tarehe 20/03/2021 siku ya Jumamosi kufuatia kifo cha mwenyekiti ndugu Magufuli.
CCM imetangaza siku 21 za maombolezo sawia na tangazo la serikali.
Source Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
Taasisi haiwezi kutekeleza, yawezekana maombolezo yalianza muda sio kila kitu ujue!.Samia aliteleza maana lilikuwa ni tangazo gumu sana kwake ni siku 21.. Si kila jambo kuponda.
Tangazo la serkali linasema sikun14Kamati kuu ya CCM itakutana kwa dharura tarehe 20/03/2021 siku ya Jumamosi kufuatia kifo cha mwenyekiti ndugu Magufuli.
CCM imetangaza siku 21 za maombolezo sawia na tangazo la serikali.
Source Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
Hapo ukute yeye ni muuza vitumbua anajikuta anajua mambo ya afya badala ya kusoma wataalamu wanasema nini yeye anawasikiliza miungu watu wanasiasa.Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.
Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Jamaa anaondoshwa kabla hata ya miezi miwili. Hawezi kusemwa ana experience na Ukatibu mkuu kiongozi!! Kaimu Rais ana uwezo wa kutengeneza timu yake mpyaaa!! Na afanye hivo haraka!!Mfukuzeni bashiru ni kirusi,mabaki ya jiwe yote fukuza.
Mtuache tunaomboleza sisiSukuma land awaamini dunia imevaa bukta.
Wale waganga njaa wa simiyu vipi kulikoni wapemba wamezidi kete.Ndumba za kwenye miti na ndumba za maji chumvi hii vita ni hatari.vuta nikuvute
Serikali imetangaza siku 14 za maombolezo, kwa hiyo si sambamba na tangazo la serikali... chama kitakuwa katika maombolezo ya siku 21 sambamba na tangazo la serikali, wakati wote huo bendera za chama cha mapinduzi zitapepea nusu mlingoti.