Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Membe alifanya makosa makubwa Sana tulimuonya asihame CCM hakusikia. JK, January, Nape walirudisha Majeshi nyuma kama hawapo vile leo usukani wao.

Heri James piga chini wasukuma habari ndio ishaisha hio wasubirie miaka 50 ijao.
 
Membe asingekimbia goli lilikuwa limebakia wazi kwake
 
Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.

Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
 
Prof Assad huyu mtu msisahau katika top layer za uongzi serikalini, anafaa sana
CAG baada ya kumaliza term yake haajiriki popote serikalini. Ndivyo utaratibu ulivyo.
 
Kamati kuu ya CCM itakutana kwa dharura tarehe 20/03/2021 siku ya Jumamosi kufuatia kifo cha mwenyekiti ndugu Magufuli.

CCM imetangaza siku 21 za maombolezo sawia na tangazo la serikali.

Source Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Siku 21 mnamfufua mana gwajima anasubiria hiyo kazi ya kumfufua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Samia aliteleza maana lilikuwa ni tangazo gumu sana kwake ni siku 21.. Si kila jambo kuponda.
Taasisi haiwezi kutekeleza, yawezekana maombolezo yalianza muda sio kila kitu ujue!.
 
Kamati kuu ya CCM itakutana kwa dharura tarehe 20/03/2021 siku ya Jumamosi kufuatia kifo cha mwenyekiti ndugu Magufuli.

CCM imetangaza siku 21 za maombolezo sawia na tangazo la serikali.

Source Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Tangazo la serkali linasema sikun14
 
Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.

Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Hapo ukute yeye ni muuza vitumbua anajikuta anajua mambo ya afya badala ya kusoma wataalamu wanasema nini yeye anawasikiliza miungu watu wanasiasa.
 
Mfukuzeni bashiru ni kirusi,mabaki ya jiwe yote fukuza.
Jamaa anaondoshwa kabla hata ya miezi miwili. Hawezi kusemwa ana experience na Ukatibu mkuu kiongozi!! Kaimu Rais ana uwezo wa kutengeneza timu yake mpyaaa!! Na afanye hivo haraka!!
 
Sukuma land awaamini dunia imevaa bukta.
Wale waganga njaa wa simiyu vipi kulikoni wapemba wamezidi kete.Ndumba za kwenye miti na ndumba za maji chumvi hii vita ni hatari.vuta nikuvute
Mtuache tunaomboleza sisi
 
... chama kitakuwa katika maombolezo ya siku 21 sambamba na tangazo la serikali, wakati wote huo bendera za chama cha mapinduzi zitapepea nusu mlingoti.
Serikali imetangaza siku 14 za maombolezo, kwa hiyo si sambamba na tangazo la serikali
 
Back
Top Bottom