Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Dude Fox why do u not read the whole Act especially Part IV section 16
Nani aliuza eneo la Mazishi la Iyumbu kwa NHC wakajenga nyumba, leo unaona kipengele kuvunjwa kuwa siku 14 ni cha ajabu?
wengine tunataka mambo mapya km kuundwa kwa Baraza jipya la Mawaziri kubadilishwa kwa Makatibu wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya
sasa ni fagia fagia na kuweka waaminifu si ndiondio ya woga

16. -(1) There shall be established under the Prime Minister's Office
a National Cemetery in Dodoma for burial and for perfomance of other
funeral activities for deceased national leaders or specified leaders
under this Act.
(2) Procedures for the establishment, maintenance and management
ofthe National Cemetery shall be as may be prescribed.
(3) The National Cemetery shall, at all times be guarded by the
Defence Forces.
Place of 17. -(1) A national leader or specified leader shall be buried in the
burial specified area within the National Cemetery.
 
Wazungu wenyewe wameamua kusitisha pamoja na WHO kuioigia debe!!
Yes wamesitisha Astra Zeneca ila chanjo zingine zinatumika kama kawa tena mamilion wanachanjwa kila siku mind yoou chanjo zipo zaidi ya nne.

Kwahyo msi generalise tatizo.... And btw wamesitisha sababu tu ya ku value maisha ya mtu mmoja mmoja ila general wise watu zaidi ya 16M waliotumia Astra zeneca wazima kabisa wala hawakupata shida yoyote zaidi ya hao 400 ambao ni isolated cases.

Kwahyo watachanjwa ila kwa zile brand zingine...... So bado chanjo inaendelea kma kawa.
 
Hebu waongezeeni Mishahara Wafanyakazi ndio jambo la Muhimu... Polisi washawachokeni
 
Sukuma land awaamini dunia imevaa bukta.
Wale waganga njaa wa simiyu vipi kulikoni wapemba wamezidi kete.Ndumba za kwenye miti na ndumba za maji chumvi hii vita ni hatari.vuta nikuvute

Mandumba ya Kipemba cyo poa na kamwe damu za watu huwa haziachi kulia
 
Ehh mzee wa majalalan tena[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mmeanza Rasmi na mama Samia?

Nasubiri kauli za bora ya Magufuli
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ametoa siku 2 za mapumziko
tarehe 22 March siku ya Jumatatu na
tarehe 25 March siku ya Jumatano siku ya mazishi huko Chato
bado mnataka siku 21 kama kipengele katika Sheria ya Mazishi kwa Kiongozi aliyefia Madarakani?
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ametoa siku 2 za mapumziko
tarehe 22 March siku ya Jumatatu na
tarehe 25 March siku ya Jumatano siku ya mazishi huko Chato
bado mnataka siku 21 kama kipengele katika Sheria ya Mazishi kwa Kiongozi aliyefia Madarakani?
Wewe ni MZUSHI na Muongo wa karne
Ukweli
1. Karekebisha maombolezo ni siku 21kwa mjibu wa sheria sio siku 14 kama alivyotangaza awali
2. Mapumziko ni siku ya Jumanne tarehe 23/3/2021-Dodoma na Alhamisi tarehe 25/3/2021 siku ya mazishi huko Chato Geita
 
mbona unaPANIC sana wapi umeyapata hayo Marekebisho kuwa si Jumatatu tarehe 22/3/2021 Dodoma na wafanyakazi wote wa Makao Makuu Wizara zilizo Dodoma na Watanzania wanafunzi na walimu watapumzika Jumatatu na si Jumanne
hapo ndipo utajua mm ni mzushi
 
mbona unaPANIC sana wapi umeyapata hayo Marekebisho kuwa si Jumatatu tarehe 22/3/2021 Dodoma na wafanyakazi wote wa Makao Makuu Wizara zilizo Dodoma na Watanzania wanafunzi na walimu watapumzika Jumatatu na si Jumanne
hapo ndipo utajua mm ni mzushi
Makosa ya kiuandishi tu ni kweli Jumatatu tarehe 22/3/2021 labda wewe ndio mwenye wasiwasi
 
Fanyeni tena ujinga mteue ibilisi mwingine wa kihutu Bashiru , mlete balaa lingine .
 

Intelligence Justice

Mimi nipo sawa tu Mkuu ila najua binadamu hayuko aliyekamilika ndio maana nikasema hiyo ACT ya Mazishi ilisema viongozi wazikwe Dodoma, ila imebadilishwa
sasa Leo tena Zanzibar imeongezeka kwa hiyo Mazishi ni Alhamis huko Chato
Dar na Dodoma wapo palepale
Mungu ampenguvu Mama Samia Suluhu Hassan hasa katika kipindi hiki cha ugeni wake ila atatuongoza vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…