Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Tano bora waliopita mchujo wa Uchaguzi wa U Rais CCM Zanzibar ni kama ifuatavyo,
1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Perera Silima
3. Prof Makame Mbarawa
4. Dr khalid
5. Khamis Mussa
Jecha hawajamtendea haki. Kwa aliyowafanyia huu ni muda wake wa kumlipa fadhila lakini si kwa CCM hawa wakishakutumia. Huko alipo atakua anajimbia "tenda wema nenda zako usingoje shukrani"
 
Dkt mwinyi anaendwa kukatwa Dodoma.. ameekwa hapo kuvuruga mind zisijue mhusika mkuu.. ni kama fake no 9... alivyowekwa membe 2015..
lakini kumbuka kuwa CCM hawana kawaida ya kukata majina ya watoto wa viongozi sanasana huwa wanawabeba.
 
Muulize makongoro nyerere, level ya urais CCM huwa haimuangalii mtu usoni..
CCM walisalimu amri kwa makunyanzi ya Amani Karume aliyeshika nafasi ya 3 majina yalipofika Dodoma akabebwa mpaka nafasi ya 1 kwa kuwa alikuwa ni mtoto wa Rais,Hssein mwinyi mwenye nafasi aliyonayo hivi sasa ameipata kwa kigezo cha kubebana kwa kuwa ni mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa nchi.
 
Hata km kabebwa lkn jamaa yupo smart Hana makandokando nakumbuka Kuna mbunge wa cdm alimshutumu bungen mwishowe alilazimika kumtaka radh Kwa kushindwa kuthibitisha shutuma dhid yake.
 
Back
Top Bottom