Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Salaam zimfikie Waitara na Silinde
Kweli CCM ina ‘wenyewe’ poleni sana nyie wakuja na wavamizi wengine mnao jipendekeza pendekeza kwenye chama, mtaishia kupiga debe tuu.....
 
Dk. Hussen Mwinyi ni mçhapa kazi na mtu mwenye haiba na falsafa za kimapinduzi katika uwajibikaji.
 
4 Julai 2020
"SIKUFURU, LAKINI HUU NI WAKATI WA FITNA, TUTATESEKA WENGINE"


Wabebaji wote ktk CCM kuweni makini
source : KTV TZ online
 
Dr. Hussein Mwinyi ana vigezo vyote kuliko wengine,
DR. Hussein Mwinyi kwa maoni yangu anafaa sana kuwa Rais kwani ni mtu mnyenyekevu, hodar/mchapakazi, lkn zaidi ya hayo ana uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa,
ana personality ya urais, ni kichwa, amebeba karibu sifa zote
Sio Mzawa. kazaliwa bara huyo
 
Tano bora waliopita mchujo wa Uchaguzi wa U Rais CCM Zanzibar ni kama ifuatavyo,
1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Perera Silima
3. Prof Makame Mbarawa
4. Dr khalid
5. Khamis Mussa
Haiwezekani, Kwani mama anaetuwakilisha vema kwenye misiba wamemkata au hakuchukua fomu?
 
Wasio waZanzibari watia nia Urais walichujwa ili kuzuia pingamizi kutoka vyama vingine kwa mgombea wa CCM Urais Zanzibar

 
Back
Top Bottom