Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Tano bora waliopita mchujo wa Uchaguzi wa U Rais CCM Zanzibar ni kama ifuatavyo,
1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Perera Silima
3. Prof Makame Mbarawa
4. Dr khalid
5. Khamis Mussa
Mwelekeo wa uteuzi wa Rais wa Zanzibar ni usomi!.. Hakuna ubishi kwenye hilo kwani hata Rais anayemaliza muda wake ni Dr kitaaluma. Katika orodha hiyo hapo juu, ni Mbarawa pekee mwenye kiwango cha uprofesa kwenye fani yake!. Kama ningepewa kuamua nani awe Rais wa Zanzibar, Ningechagua majina mawili tu: 2. Pereira Silima na Khamis Mussa. Hao wanataaluma watatu ningewarudisha vyuoni kwenye fani zao walizobobea. 🤔
 
Mwelekeo wa uteuzi wa Rais wa Zanzibar ni usomi!.. Hakuna ubishi kwenye hilo kwani hata Rais anayemaliza muda wake ni Dr kitaaluma. Katika orodha hiyo hapo juu, ni Mbarawa pekee mwenye kiwango cha uprofesa kwenye fani yake!. Kama ningepewa kuamua nani awe Rais wa Zanzibar, Ningechagua majina mawili tu: 2. Pereira Silima na Khamis Mussa. Hao wanataaluma watatu ningewarudisha kwenye fani zao walizobobea. 🤔

Kwahiyo kwa mujibu wako wewe mkuu usomi ni disqualification katika uongozi ?
 
Kwahiyo kwa mujibu wako wewe mkuu usomi ni disqualification katika uongozi ?
Hapana Mkuu!.. usomi uliopitiliza mahali pake ni vyuoni ambapo wanahitajika sana, hasa kwenye hizi nchi zetu zinazoendelea.
 
Tano bora waliopita mchujo wa Uchaguzi wa U Rais CCM Zanzibar ni kama ifuatavyo,
1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Perera Silima
3. Prof Makame Mbarawa
4. Dr khalid
5. Khamis Mussa
 
Wamefanya kuwa ni siri, majina hayo yatajuulikana huko huko Dodoma. Kiufupi Zanizibar hawana mamlaka hata yakutangaza hayo majina waliyoyachagua.
Daaah kwa hiyo yale maneno ya wale wazee wa uamsho waliong'ang'aniwe ukweli wake unadhihiri sio?
 
Jecha Salim Jecha hakukumbukwa kabisa! Kati ya wale akina mama waliojitokeza kwenye mchakato, yaani alikosekana hata mmoja tu wa kuingia kwenye hiyo 5 bora!

Bila shaka mfumo dume na udini vimetamalaki sana Zanzibar.

Unaposema udini una maanisha uislam !
 
Naona wamejichanganya kuweka walamba viatu wa Jiwe ambaye hakubaliki kabisa Zanzibar. Hapo CCM wakilazimisha ushindi lazima kikombe kijae nyekundu!
"...kikombe kijae nyekundu"?

Hilo sahau kabisa enzi hizi.

Na ili usinielewe vibaya inabidi nieleze kuwa sio kwa sababu ya kuwepo Jiwe wakati huu.
 
Hatimae Jecha nae ameonja machungu ya kukatwa.
 
Hakuna wa kumshinda Seif hapo labda watumie dola kama kawaida yao.
Sasa anayetumia dola na wewe uliyekwisha yajua matokeo mnatofauti gani?

Afadhali hata anayetumia Dola.
 
Mbarawa kamzidi Sana Hussein mwinyi ambaye amekua akijiandaa muda mrefu bado dhaifu Sana.Znz Mbarawa ni mtu sahihi sanaaa
Ni kweli kabisa, Wakimpa Mbarawa, Zanzibar itafika Mbali. Huyu jamaa ni mchapa kazi, na anafuatilia vitu in detail.
 
Back
Top Bottom