Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Kamati maalumu ya CCM imemaliza mkutano wake huko Zanzibar kwa kupitia majina yote wanachama waliochukua fomu. Tayari majina matano yamepatikana ambayo yatawasilishwa kwenye Kamati Kuu ya CCM itakayoketi wiki kesho pale Dodoma.


The comedy kila mtu anajua Mwinyi ndiye atakuwa Rais wa Zanzibar hata kwa kuiba. Wanatupotezea muda na hizi cinema!!😂😂.
 
Rais wa Zanzibar lazima awe amefanya kazi kwenye Serikali ya Muungano?
 
Kikao haramu hicho, hakina hata mamlaka ya kutoa report ya kikao. Mbona Nec ya Dodoma mambo huwa yanaeleweka mapema kabisa.
 
Seif ni CCM yuko katika special mission

NI vigumu sana kwa wanaojiita wapinzani ambao hawakuwa kwenye mfumo rasmi uloundwa na "establishment" ya nchi hii kuingia humo.

Wapinzani kuwapokea Lowasa, Nyalandu na Sumaye na kuwafanya wapinzani ni kichekesho sana.
 
Sawa, safari ya Oktoba bado inaendelea.
 
Dr. Hussein Mwinyi ana vigezo vyote kuliko wengine,
DR. Hussein Mwinyi kwa maoni yangu anafaa sana kuwa Rais kwani ni mtu mnyenyekevu, hodar/mchapakazi, lkn zaidi ya hayo ana uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa,
ana personality ya urais, ni kichwa, amebeba karibu sifa zote
Mbarawa kamzidi Sana Hussein mwinyi ambaye amekua akijiandaa muda mrefu bado dhaifu Sana.Znz Mbarawa ni mtu sahihi sanaaa
 
Back
Top Bottom