Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

Jecha Salim Jecha hakukumbukwa kabisa! Kati ya wale akina mama waliojitokeza kwenye mchakato, yaani alikosekana hata mmoja tu wa kuingia kwenye hiyo 5 bora!

Bila shaka mfumo dume na udini vimetamalaki sana Zanzibar.
 
Yule nani nani sijui jecha kakomea wapi..??
 
Tunaimani na Jecha.. mbona hawajarejesha jina lake? Au ndio muosha huoshwa?
 
Dr. Hussein Mwinyi ana vigezo vyote kuliko wengine,
DR. Hussein Mwinyi kwa maoni yangu anafaa sana kuwa Rais kwani ni mtu mnyenyekevu, hodar/mchapakazi, lkn zaidi ya hayo ana uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa,
ana personality ya urais, ni kichwa, amebeba karibu sifa zote
 
Wanadhani mwaka huu watu wataendelea kuwa wa ndiyo mzee
Naona wamejichanganya kuweka walamba viatu wa Jiwe ambaye hakubaliki kabisa Zanzibar. Hapo CCM wakilazimisha ushindi lazima kikombe kijae nyekundu!
 
1. Dr. Hussein Mwinyi (Mgombea uraisi)

2.. Prof Makame Mbarawa (Mgombea mwenza)

Au vice versa
 
Back
Top Bottom