dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
mbowe kategeshewa mtego wa panya,namshauri aweke msimamo wa kushusha zaidi hiyo posho hadharani,wenzie wakikomalia laki 7 ajitoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, yes it is pocble...
Hawezi kukubali jamaa mwenyewe naye HANA njaa
Kwani Mbowe ndio anaongea posho? Ole wenu mliochagua magamba
Eee kumekucha, hiyo ni kamati ya ngedere kuchunguza tuhuma za nyani kuiba mahindi.Mwenyekiti wa muda wa ‪Bunge La Katiba ‬ameunda kamati ndogo ya wajumbe 6 kuchunguza suala la malalamiko ya posho juu ya bunge hilo la katiba.
Wajumbe wanaounda kamati ya kuchunguza posho ni Lukuvi, Freeman Mbowe, Paul Kimiti, Mohamed Aboud, Asha Makame na Jenista mhagama.
" Source Voice of Zanzibar."Sakata la posho na fedha za kujikimu kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, limezua kizaazaa ndani na nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya baadhi ya wajumbe wa Tanzania Bara kulalamikia posho ya Sh. 300,000 kuwa ni ndogo. Kizaazaa hicho kiliibuka baada ya wajumbe wa Tanzania Bara kupata taarifa kuwa wenzao wa Baraza la Wawakilishi, wanalipwa kiasi sha Sh. 420,000 kwa siku.
Walidai kuwa baada ya kufika Dodoma, wawakilishi walilalamika kwa Spika wao na kuwasiliana na Serikali ya Zanzinar na kukubali kuwaongezea malipo.
Naomba kufahamu mlipaji wa posho na marupurupu mengine kwa wajumbe (wabunge) hawa wa bunge maalumu la katiba. Nilivokuwa nafahamu mie ni Ikulu kwa maana ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ndiye mlipaji sasa serikali ya Mapindizi ya Zanzibar imepata wapi mamlaka ya kuidhinisha nyongeza ya posho kwa wajumbe/wabunge toka Zanzibar? Hebu soma hii "Sakata la posho na fedha za kujikimu kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, limezua kizaazaa ndani na nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya baadhi ya wajumbe wa Tanzania Bara kulalamikia posho ya Sh. 300,000 kuwa ni ndogo. Kizaazaa hicho kiliibuka baada ya wajumbe wa Tanzania Bara kupata taarifa kuwa wenzao wa Baraza la Wawakilishi, wanalipwa kiasi sha Sh. 420,000 kwa siku.
Walidai kuwa baada ya kufika Dodoma, wawakilishi walilalamika kwa Spika wao na kuwasiliana na Serikali ya Zanzinar na kukubali kuwaongezea malipo." Source Voice of Zanzibar.