Kamati ya Amani ya Maaskofu na Mashekhe yamuonya Askofu Gwajima

Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.
Tabora, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, kote huko ni mikoa yetu.
Hii mingine tuna territory kabisa yani zimeshakua zetu.
Katavi, Singida, Mbeya, Rukwa yani huku kote kuna maeneo yanaitwa ya wasukuma
Unajidanganya.

Ukweli ni kuwa mikoa unayoitaja wasukuma halisi si wengi ki hivyo. Hii mikoa ni mikoa ya kibiashara , wahamiaji ni wengi kuliko wenyeji. Mfano ni mji wa mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.
Tabora, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, kote huko ni mikoa yetu.
Hii mingine tuna territory kabisa yani zimeshakua zetu.
Katavi, Singida, Mbeya, Rukwa yani huku kote kuna maeneo yanaitwa ya wasukuma
Wahindi 12,000 tu wanatosha kuchunga ng’ombe wote hao.
 

Haitatokea Raisi awe mtu wa kaskazini. Ilo sahau mkuu.


Alichokifanya gwajima ni upumbavu
 
Hao siyo viongozi wa dini,ni wachumia tumbo,umeona hapo kuna Asikofu au Padri kutoka kwenye madhehebu makubwa na yanayoheshimika ?
 
Nawaza hivi mtu kama gwajima ataenda mbinguni kweli maana matendo yake yananifanya niamini Gwajima ni tawi la mti ambao mizizi yake imechipua kutoka kwenye crotch au kichwa cha ibilisi
 
Hao ni akina Mwamposa wanaua watu 20 halafu kesho yake wanatunukiwa degrii ya heshma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…