Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ndio maana wengine tumeshaona kuwa kwenye hii Vita Gwajima atafeli..Gwajima anaangalia maslahi yake pia.
..lazima alinde ubunge na kanisa lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wengine tumeshaona kuwa kwenye hii Vita Gwajima atafeli..Gwajima anaangalia maslahi yake pia.
..lazima alinde ubunge na kanisa lake.
Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
Vipi, ikitokea Rais mjinga Kama kibwetere!??Gwajima anapinga msimamo wa serikali halali,ni UAMUZI wa serikali kuwa covid 19 ipo na watanzania wapate vaccine jab ila kwa HIARI yao,sasa wewe kutumia nyumba za ibada na kutamka kuwa waumini wako hawatachanja vaccine ni kupingana na government's of the day,na kama Mr.Gwajima hapendi chanjo hiyo ni haki yake pia alikua na haki ya kuipeleka serikali mahakamani kupinga hizi chanjo.Nchi ina Rais mmoja na ndiye anayetoa directions nchi iende wapi,hukubaliani nayo nenda mahakamani.msimamo wangu binafsi watanzania wenzangu go out there and get a jab,pls do that mimi tayari nimepata jab.
Mkuu TODAYS , mimi sio tuu hutoa likes kwa kila thread ninayofungua na kwa kila post ninayosoma, ila pia ni mchangiaji mzuri, mfano kwenye uzi huu, nimeelezea experience yangu, kuhojiwa na Kamati ya Bunge.Kama Pascal Mayalla mwenyewe ana_like tu humu komenti unategemea nani atatoa majibu yenye weledi?.
Kila mtu anasubili kuanzisha mada baada ya kamati kumlarua huyo gwajiboy.
Watamualika harakaharaka Mzee aliyetolewa jalalani..anamudu majibubya hovyohovyo na kejeliHakuna wa kujibu hoja za Askofu Gwajima. Hata wakikesha na madesa bado ni ngumu kusimama na mtu anayesimamia anachoamini.
Hachomoki, ila majibu sio kesho, kesho atahojiwa tuu, halafu matokeo ni keshokutwa, atapewa adhabu.Tupe uzoefu unavyoona Gwajima kesho anachomoka au hachomoki.Predict
Hajawahi kusema haya!..Gwajima amesema ukichanjwa unakuwa na nguvu ya sumaku pale sindani ilipoingia. Hivi hakuna Mtanzania anayeweza kum-challenge?
..Pia amesema ukichanjwa pale sindani ilipoingia panaweza kuwasha balbu. Je, hakuna Mtanzania anayeweza kumjibu kwa ushahidi?
..Vilevile amewatuhumu viongozi kuwa wamehongwa ili wa-promote chanjo, na kwamba wamechanjwa chanjo "feki." Hilo nalo hakuna Mtanzania wa kumjibu?
Kaomba mdahalo popote muda wowote! Nendeni mkaoneshe ujinga wake basi?Gwajima hoja zake hazijibiki?
Nchi yetu bado ipo kwenye ujima.Usijisahaulishe Hilo.Zidumu fikra za MwenyekitiKuna watu mindsets zao zimeganda kwenye zama za “...zidumu fikra za mwenyekiti wa chama...”
Tutapata majibu,usiku wa Deni haukawiii kuchaKaomba mdahalo popote muda wowote! Nendeni mkaoneshe ujinga wake basi?
Kwamba viongozi wamekula Hongo hajawahi sema?Hajawahi kusema haya!
Gwajima angefanya Kama Polepole nadhani kusingekuwa na Mgogoro wowote unaofukuta.Polepole yupo kimya hataki malumbano na viongozi nadhani kamati haimhusu.Hachomoki, ila majibu sio kesho, kesho atahojiwa tuu, halafu matokeo ni keshokutwa, atapewa adhabu.
Ila kitu cha mwisho Gwajiboy atakachofanya ni hiki
Hivyo mwisho wa siku, Gwajiboy atachanjwa na misukule yake, watafuatia.#COVID19 - Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"
Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...www.jamiiforums.com
P
Wanaenda kumsihi apunguze moto, wakimtishia ataivua nguo serikali kanisani!Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
Kwanini iwe hivyo kwa Gwajima pekee? Wote waliohojiwa kabla walihojiwa kwa utaratibu huo.Tena ingependeza kama hayo mahojiano yangerushwa live kwenye vituo vya habari vyote nchi ili tujue yupi ni mkweli yupi ni mfata upepo.
Ila hawawezi maana inaweza kuwa ni zaidi ya mahojiano.
Lowasa huyo mdebwedo au hujui kuwa Gwajima ndiye aliyemshika mkono Lowasa kwenda Chadema? Kakobe huyo naye ameshalegea tayari. CCM na Serikali yake hawamuwezi Gwajima.Lowassa alikuwa na Mbuzi,Kakobe alikuwa na kondoo
Sijasikia utaalamu wowote kutoka serikalini au Bungeni,nimesikia udaku tu.Kwani Bunge halina wataalam kiasi kwamba Gwajima ndio awe mtaalamu zaidi?
Sawa tusubiri matokeo, ila kuna vitu vinafikirisha juu ya Gwajima.
Hivi kipindi cha Magufuli alishindwa kupata jambo lakushupalia? Yote aliyofanya yalikua sawa?