ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 644
- 569
Kumbe molemo ndiye KUB hahahaUongo mtupu.Kamati haijapendekeza kitu cha namna hiyo.
Huu ni uongo mkubwa wa kutaka sifa kwa Zitto Kabwe.
Wee utakuwa punguani wa akili sio bure. Unauliza swali kuhoji uzalendo wao iwapo watakataa nyongeza ya posho, hapohapo unamponda zitto ambaye hatachukua hata hiyo 300k. Sasa ndugu yangu hizi chuki kwa zitto mbona zinakuondoa fahamu? Zitto ulitaka afanyeje? Amepinga posho, hatochukua posho na amepost huko fb ili ww mwabanchi upate habari. Afanye nn tena?Lkn hebu tuwe wakweli na tuache unafiki..! Kati yetu tunaopinga hiyo posho,tunapinga kwakuwa ni wazalendo au ni wivu na unafiki tu..!? Kuna ambae anaweza kukataa kweli km angeteuliwa yeye? Zzk,ndo mnafiki zaidi,hivi anavyopinga facebook inasaidia nini? Chadema wamekubaliana kutoka nje ya bunge km kamati itaridhia posho iongezwe. Tutauona hapo uzalendo wa zitto kma nae atatoka nje. Kweli nchi hii bila unafiki haiendi..!!
Nishachoka sasa nami nitaanza kuiba vyuma vya reli, barabara na madaraja na chochote kilicho cha serikali mana dunia iko mwisho sasa kila mtu achukue anachoona kinamfaa. hakika si mbali tutakuja kuchinjana hapa tz
Hebu niambie bila jaziba,utaratibu wa kupata hiyo posho ni kusaini mahudhurio,jambo ambalo hata zito anafanya. Kitendo cha kusaini mahudhurio,ni kukubali kupokea posho. Haya,tufanye amesaini halafu akaziacha,lkn serikalini zimetoka. Kwa akili yako hizo pesa zinaelekezwa wapi? Ukinipa hayo majibu ntarudi kwako kukupa maoni yangu. Kitendo cha wewe kuanza na matusi,umedhihirisha tu kwamba unafikiri kwa kutumia kiungo kingine..!!Wee utakuwa punguani wa akili sio bure. Unauliza swali kuhoji uzalendo wao iwapo watakataa nyongeza ya posho, hapohapo unamponda zitto ambaye hatachukua hata hiyo 300k. Sasa ndugu yangu hizi chuki kwa zitto mbona zinakuondoa fahamu? Zitto ulitaka afanyeje? Amepinga posho, hatochukua posho na amepost huko fb ili ww mwabanchi upate habari. Afanye nn tena?
Wee utakuwa punguani wa akili sio bure. Unauliza swali kuhoji uzalendo wao iwapo watakataa nyongeza ya posho, hapohapo unamponda zitto ambaye hatachukua hata hiyo 300k. Sasa ndugu yangu hizi chuki kwa zitto mbona zinakuondoa fahamu? Zitto ulitaka afanyeje? Amepinga posho, hatochukua posho na amepost huko fb ili ww mwabanchi upate habari. Afanye nn tena?
u have an ideal idea but feel sorry for ur nation. If u think they steal, dont react by stealing. Lets join power looking ways forward on this.Nishachoka sasa nami nitaanza kuiba vyuma vya reli, barabara na madaraja na chochote kilicho cha serikali mana dunia iko mwisho sasa kila mtu achukue anachoona kinamfaa. hakika si mbali tutakuja kuchinjana hapa tz
hakuna cha peoplees wala kidumu chama cha mapinduzi shame to all include nccr,cuf. mapumbavu yote waganga njaa wote