Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikubaliane na ww kuwa siyo lazima uichukue,na km unajua kusoma vizuri kiswahili sidhani km ungeuliza hilo swali. Nilichosema mimi kitendo cha kusaini mahudhurio ni kuidhinisha posho itoke kutoka ktk mamlaka inayoshughulikia posho hizo. Swali langu ambalo nalirejea kwako,je! Hiyo posho mbunge akiiacha inaenda wapi? Labda nikuambie jambo moja,zitto huenda kweli hachukui posho. Lkn kitendo hicho kinaongeza ufisadi,ni bora hata angezichukua na kuzipeleka jimboni kwake. Kwa sasa zinapotea bure,halafu nyie misukule wake wala hamjiulizi kwa nn hajawahi kuuliza posho yake huwa inaenda wapi..!!? Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Unatumia nguvu nyingi sana kufikisha ujumbe ambao hata ufahamu nao hauna. Kwa hiyo kwa imani yako na ufahamu wako ukisign ndiyo umechukua posho? Be serious!
Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.
Habari kutoka ndani ya kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho ili kufuatilia madai hayo, zimedai kuwa baada ya uchunguzi wa kina, wajumbe wa kamati hiyo hawakuona sababu ya kupendekeza posho hizo kupandishwa.
Taarifa hizo zilidai kuwa wajumbe hao wamefikia uamuzi huo baada ya kupitia viwango vya posho vinavyolipwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali na Mashirika ya Umma.
Pale unaponiita msukule wa Zitto huwa tayari umejionyesha ni mtu mwenye uwezo kiasi gani cha kujenga hoja. I cant waste my time arguing with your likesNikubaliane na ww kuwa siyo lazima uichukue,na km unajua kusoma vizuri kiswahili sidhani km ungeuliza hilo swali. Nilichosema mimi kitendo cha kusaini mahudhurio ni kuidhinisha posho itoke kutoka ktk mamlaka inayoshughulikia posho hizo. Swali langu ambalo nalirejea kwako,je! Hiyo posho mbunge akiiacha inaenda wapi? Labda nikuambie jambo moja,zitto huenda kweli hachukui posho. Lkn kitendo hicho kinaongeza ufisadi,ni bora hata angezichukua na kuzipeleka jimboni kwake. Kwa sasa zinapotea bure,halafu nyie misukule wake wala hamjiulizi kwa nn hajawahi kuuliza posho yake huwa inaenda wapi..!!? Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Hv huwa mnafikiria kwa kutumia viungo gani ktk mwili..!? Ushujaa wake uko wapi wakati anasaini mahudhurio? Ukisaini mahudhurio,maana yake umeidhinisha posho yako itumike. Na kutosaini mahudhurio ni kosa kwa kanuni za bunge. Tupe maelezo toka aanze kukataa posho,zile pesa huwa zinapelekwa wapi? Au kwa akili yako zinarudishwa hazina!? Unalishwa sumu ya kijinga wewe unashabikia! Pia umesema ile kamati imejaa wasomi ndo maana wamemzidi ujanja mbowe. Kumbe kuwa msomi ni kuwahadaa wasiosoma ili uwaibie!? Km jibu ni ndiyo,kuna haja gani ya kuwa na wasomi wezi? Ndo maana tumefika hapa kwa kuongozwa na wachumia tumbo..!!
Zitto ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kucheza na akiliza za vilaza hiiinatokana na unafki wake wa hali ya juu.Kwa mfano kwenye hili swala la posho zitto amedhililisha hilo na wengi wenye uelewa mdogo wamemuona shujaa.
Baada ya baadhi ya wabunge wa ccm kudai nyongeza ya posho (lejea post ya mtatiro fb) kuliibuka makundi mawili moja likipinga ongezeko la posho (hasa wapinzani) na linguine likitaka posho iongezwe .
Kutokana na swala hilo kuhalibu ratiba ya bunge ilibidi mwenyekiti wa mda aunde kamati itakayo enda kukutana na serikali ili kutafuta suluhu ya hili jambo . Hiyo kamati ikihusisha wabunge wanao unga mkono ongezeko la posho na wale wanao pinga (washindane kwa hoja). Na kwaupande wanao pinga hasa wapinzani iliongozwa na mbowe, ambapo kabla ya kukutana na kamati alikaa na wapinzania na kutoka na azimio moja la kupinga nyongeza yoyote ya posho.
Kitu ambacho zitto hakukipenda na makusudi akaanza kuupotosha umma kua kamati imeundwa ili kwenda kuongeza posho. (Ana taka yeye aonekane ndie mtetezi wa wanyonge). Sababu ya yote ni kua hakuteuliwa yeye kwenye kamati hiyo. Baadae kwa habari zisizo za kweli, zitto akaandika facebook kua posho zimeongezwa kufikia laki 5 ili uma umchukie mbowe aonekane alienda kutetea posho.
Baadae anakuja na hoja nyingine aliyo kuja nayo Mtatiro ya kukusanya sahini za wabunge (mtatiro alimuwahi) baada ya kuona hivyo zitto akaandika facebook kua atamuunga mkono Mtatiro kwa kusaini fomu ya za kupinga posho eti kamati ya akina mbwe imeongeza posho mpaka laki 500,000 (uongo mkubwa).Swali la kujiuliza utakusanyaje saini kabla kamati haijaleta majibu yake?kama walikua hawaiamini kamati kwa nini waliipendekeza?.Aibu imemfika baada ya kusikia hoja ya Mbowe ya kupinga posho imekubarika hivyo njia yake ya kutafuta njia ya kuonekana mzarendo imekwama.
Lakini tujikumbushe kidogo zitto huyu huyu kabla bunge hili halijaanza alisema hatapokea posha kwa sababu anapokea mshahala wa ubunge, pia ndani ya hiyo posho ya sh 300,000/= kuna seating allowance ya 24,000/= ndani yake .(vilaza wakasema kweli huyu mzalendo).Baada ya kuona watu wameisha mshtukia kua anatafuta umaarufu wa kinafki akaja na hoja nyingine kua atapokea posho lakini sio nyongeza ya posho watu wakahoji huyu mzalendo vipi tena si alisema hata pokea posho iweje abadilike na kusema hata pokea nyongeza mabayo anajua kwa kuna uwezekano mkubwa isiongezwe?. Ndipo wenye akili tusha mjua kua kijana nimnafki na wala sio mzalendo . Soma comment ya kwanza hapo kwenye picha iliyo muumbua.
![]()
Hebu niambie bila jaziba,utaratibu wa kupata hiyo posho ni kusaini mahudhurio,jambo ambalo hata zito anafanya. Kitendo cha kusaini mahudhurio,ni kukubali kupokea posho. Haya,tufanye amesaini halafu akaziacha,lkn serikalini zimetoka. Kwa akili yako hizo pesa zinaelekezwa wapi? Ukinipa hayo majibu ntarudi kwako kukupa maoni yangu. Kitendo cha wewe kuanza na matusi,umedhihirisha tu kwamba unafikiri kwa kutumia kiungo kingine..!!
Lkn hebu tuwe wakweli na tuache unafiki..! Kati yetu tunaopinga hiyo posho,tunapinga kwakuwa ni wazalendo au ni wivu na unafiki tu..!? Kuna ambae anaweza kukataa kweli km angeteuliwa yeye? Zzk,ndo mnafiki zaidi,hivi anavyopinga facebook inasaidia nini? Chadema wamekubaliana kutoka nje ya bunge km kamati itaridhia posho iongezwe. Tutauona hapo uzalendo wa zitto kma nae atatoka nje. Kweli nchi hii bila unafiki haiendi..!!
Tuacheni nasisi wauza madawa tupige hela kivyetu maana hizo za serekalini hatuna uwezo nazo
Safiii zitto
Ni kwasababu wana hekima na hawakurupuki kutafuta sifa.Naumia sana ninapoyaona haya yakiendelea huku tukiwa na Viongozi wakubwa ndani ya bunge maalumu la Katiba wanaojiita wapigania haki na maendeleo ya nchi yetu.... Hivi hili ndugu zangu wasiopenda posho mbona sijasikia WAKITOA tamko tofauti na ZZK.