Nilijua tu unapompeleka mtu mwenye elimu ya magumashi kama mwenyekiti kwenye kamati ile ya posho, tena na wasomi wanaojua kufinyaanga takwimu , mara mfumuko wa bei, mara gharama za maisha , mara ..............! itakuwa majanga tu. Mwenyekiti hawezi kujenga hoja ya kielimu na atabakia kuitikia tuu....Inasemekana mwenyekiti alibaki mdomo wazi wale jamaa walivyojipanga na makaratasi kibaao ya takwimu tena kwa lugha ya kiingereza.....mweshimiwa mwenyekiti asijue la kupinga akabaki kusema wananchi watatuonaje................... Kweli akili ndogo imeishiwa mbinu kama ulivyodokeza waraka, hivi kweli kazi ya kutathmin inaweza kufanywa ndani ya masaa kadhaa na kuja na document ya kumshauri rais? wametumia muda gani kutafuta rejea mbali mbali? wamemuhoji nani na wapi? ................