Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Ukisikia jina la ZZK unawehuka, kazi kupinga tu... haya soma hii habari ya uchambuzi toka kwenye gazeti la serikali http://habarileo.co.tz/index.php/safu/22046-chezea-wewe-nusu-milioni-kwa-siku Wewe unamjua fika mwakilishi wa kamati ya posho toka chadema "Mbowe" ni mtu mwenye elimu kiasi gani na usitegemee anaweza kuargue na wale wasomi toka CCM......Inasemekana baada ya kupewa data na takwimu za kizushi kabakia kutikisa kichwa na kukubali kila kitu.....Uongo mtupu.Kamati haijapendekeza kitu cha namna hiyo. Huu ni uongo mkubwa wa kutaka sifa kwa Zitto Kabwe.
Nilijua tu unapompeleka mtu mwenye elimu ya magumashi kama mwenyekiti kwenye kamati ile ya posho, tena na wasomi wanaojua kufinyaanga takwimu , mara mfumuko wa bei, mara gharama za maisha , mara ..............! itakuwa majanga tu. Mwenyekiti hawezi kujenga hoja ya kielimu na atabakia kuitikia tuu....Inasemekana mwenyekiti alibaki mdomo wazi wale jamaa walivyojipanga na makaratasi kibaao ya takwimu tena kwa lugha ya kiingereza.....mweshimiwa mwenyekiti asijue la kupinga akabaki kusema wananchi watatuonaje................... Kweli akili ndogo imeishiwa mbinu kama ulivyodokeza waraka, hivi kweli kazi ya kutathmin inaweza kufanywa ndani ya masaa kadhaa na kuja na document ya kumshauri rais? wametumia muda gani kutafuta rejea mbali mbali? wamemuhoji nani na wapi? ................

Mkuu kukaa kimya ni bora, ZZK ni shujaa kwa sasa Tz....kwenye hili amesimama upande wa haki chuki zako ulizopandikizwa na viongozi wanaomuona kuwa ni tishio ziweke pembeni la si hivyo utaonekana kioja.Zitto ana hela nyingi alizoficha ujerumani so hana haja ya posho
Mkuu ishughulishe kidogo akili yako utanielewa, lakini ukiendelea kusikiliza ya katibu na mwenyekiti utaendelea kuburuzwa.Maji taka...
Mkuu ishughulishe kidogo akili yako utanielewa, lakini ukiendelea kusikiliza ya katibu na mwenyekiti utaendelea kuburuzwa.
Zitto ana hela nyingi alizoficha ujerumani so hana haja ya posho
Kwani Mh. Zitto msimamo wake kuhusu posho siunajulikana!!
Kinachomfanya aendelee kuandika andika kuhusu kukataa posho ni nini,,,,
Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity. (Martin Luther King Jr.)Nilijua tu unapompeleka mtu mwenye elimu ya magumashi kama mwenyekiti kwenye kamati ile ya posho, tena na wasomi wanaojua kufinyaanga takwimu , mara mfumuko wa bei, mara gharama za maisha , mara ..............! itakuwa majanga tu. Mwenyekiti hawezi kujenga hoja ya kielimu na atabakia kuitikia tuu....Inasemekana mwenyekiti alibaki mdomo wazi wale jamaa walivyojipanga na makaratasi kibaao ya takwimu tena kwa lugha ya kiingereza.....mweshimiwa mwenyekiti asijue la kupinga akabaki kusema wananchi watatuonaje................... Kweli akili ndogo imeishiwa mbinu kama ulivyodokeza waraka, hivi kweli kazi ya kutathmin inaweza kufanywa ndani ya masaa kadhaa na kuja na document ya kumshauri rais? wametumia muda gani kutafuta rejea mbali mbali? wamemuhoji nani na wapi? ................
Kwani Mh. Zitto msimamo wake kuhusu posho siunajulikana!!
Kinachomfanya aendelee kuandika andika kuhusu kukataa posho ni nini,,,,