MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wazo zuri ila siyo kwa zile zilizojengwa kwa hela ya walipa kodi. Zijengwe na watu binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajua vipi 'toll roads' wakati tangu amezaliwa hajawahi kutoka nje ya TZ? Hajui umuhimu wake wala faida yake.Sio kwamba wewe ndio Mjinga? Unajua modality ya concept ya toll roads? Acha kuropoka hovyo wewe mbumbumbu.
Kuna Barabara 8 tenda zake zimetangwaza wanatafuta WakandarasiWajenge hizo express way sasa za kuweka hiyo road toll, maana sijaona hiyo barabara kwa sasa.
Kamatia ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuona umuhimu wa kuanzisha na kujenga Barabara za Kulipia Tozo Ili kuweza kuongeza mapato..
Kamatia imetaka Barabara ya Kimara Hadi Kibaha ndio iwe ya kwanza kuingizwa kwenye mfumo huo.
My Take.
Safi sana Kamatia,ifike mahala tuepukane na mifumo ya kijima inachelewesha maendelea sana.
Hv unafikiri Ulaya barabara zote au nchi zina toll sijui mnajidanganya wapiKamatia ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuona umuhimu wa kuanzisha na kujenga Barabara za Kulipia Tozo Ili kuweza kuongeza mapato..
Kamatia imetaka Barabara ya Kimara Hadi Kibaha ndio iwe ya kwanza kuingizwa kwenye mfumo huo.
My Take.
Safi sana Kamatia,ifike mahala tuepukane na mifumo ya kijima inachelewesha maendelea sana.
Nani kakwambia ni zote au wapi nimesema ni zote? PumbavuHv unafikiri Ulaya barabara zote au nchi zina toll sijui mnajidanganya wapi
Thread imejaa matusi, sio kwangu humu kila lenye heri bossDuu nyumbu mbona una makasiriko? Toll roads is all over the world Sasa wewe ni mshamba hujui kitu Tulia uletewe maendelea kenge wewe.
Acha uzushi hiyo Barabara inajengwa Hadi Morogoro to Dodoma na pia kuanzia Tunduma Hadi Igawa zitakuwa toll roadsHivi hawa wabunge 75% IQ yao ni hohe hahe, yaani barabara utoke pale Kimara to Kibaha sehemu ya dak 20, alafu ulipie, hawa wabunge kumbe hawaoni maisha yalivyo panda, unga, mafuta, vyakula vyote vimepanda, wao badala ya kufikiria namna ya kumsaidia mwananchi, ndio kwanza wanazidisha gharama kwa mwananchi.. Mh. Rais Samia, kuwa makini sana na hawa wabunge, wako kama hawaishi Tanzania yetu.
Barabara zenyewe hakuna, hii ya Kimara to Kibaha si kodi zetu zimejenga, haifai kulipia
Nchi Nyingi Zenye Hiyo Mifumo Elimu Ni Bure Mpaka chuo Kikuu,Miundombinu Imara,Vituo Vy Afya Kila Mahali.Huu mfumo uko dunia nzima tena tumechelewa sana kuuanzisha, hakuna kitu cha bure duniani. Ujamaa umedumaza sana akili za watu.
Eeeh mtutengee sisi masikini tupambane na foleni, tushazoea shida zetu.Kuna Barabara 8 lane za kulipia zitatengwa na za nyie maskini zitakuwepo.
Ndio maana Huwa nampenda Samia Huwa hajali mbumbumbu watasema nini,hata Nyerere wakati analeta magezuzi ya siasa nyumbu walikataa 🤪🤪.Thread imejaa matusi, sio kwangu humu kila lenye heri boss
Kikubwa pesa zisipigwe juu kwa juu, kuwe na mfumo wa kuhakikisha zinatumika inavyostahili. Kutokuwa na 'road tolls' karne hii tuliyopo ni kitu cha ajabu, ni moja ya njia rahisi za kukusanya mapato hasa ya kuziendeleza na kuzikarabati barabara zetu.Nchi Nyingi Zenye Hiyo Mifumo Elimu Ni Bure Mpaka chuo Kikuu,Miundombinu Imara,Vituo Vy Afya Kila Mahali.
Lakini Naweza Sema Huu Mfumo Ndo Chachu Ya kuleta Hivo Vitu Vyote,Kikubwa inahitajika Barabara Mbadala Za Kulipia Sio Hizo za Zamani Kuzifanya kuwa za Kulipia
Taja hiyo Nchi ambayo ni Bure..Nchi Nyingi Zenye Hiyo Mifumo Elimu Ni Bure Mpaka chuo Kikuu,Miundombinu Imara,Vituo Vy Afya Kila Mahali.
Lakini Naweza Sema Huu Mfumo Ndo Chachu Ya kuleta Hivo Vitu Vyote,Kikubwa inahitajika Barabara Mbadala Za Kulipia Sio Hizo za Zamani Kuzifanya kuwa za Kulipia
Zipigwe wapi wewe kwani pos machine kazi yake ni nini? Kule Kigamboni si mnalipia?Kikubwa pesa zisipigwe juu kwa juu, kuwe na mfumo wa kuhakikisha zinatumika inavyostahili. Kutokuwa na 'road tolls' karne hii tuliyopo ni kitu cha ajabu, ni moja ya njia rahisi za kukusanya mapato hasa ya kuziendeleza na kuzikarabati barabara zetu.
Sukuma gang will oppose what you are saying because of their foolishness.Another burden to low income earners
NGURUWE wa ccm ni wapumbavu sanaDuu nyumbu mbona una makasiriko? Toll roads is all over the world Sasa wewe ni mshamba hujui kitu Tulia uletewe maendelea kenge wewe.
🤣🤣Huu mfumo uko dunia nzima tena tumechelewa sana kuuanzisha, hakuna kitu cha bure duniani. Ujamaa umedumaza sana akili za watu.