Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuanzisha Barabara za kulipia tozo

Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuanzisha Barabara za kulipia tozo

Machawa katika ubora wao,hao wabunge waliotoa ilo wazo kuwe na roads toll je wapiga kura wao wanajua ama ni wazo la akili zao kichwani,Hapo namuona mama Anna Kilango kutokea kule same wananchi wake jimboni kwake ukibahatika kutembelea ni masikini watupu,barabara za vumbi,maji ya shida
Kwani wewe ukianza na wazi kichwani Mke wako Huwa anajua? Watajua baadae
 
Ujenzi wa barabara ya Ubungo Chalinze Mbona umesimama kwa muda mrefu?

Ule wa njia 4-6 ?
Umeusimamisha wewe? Ndio umeanza Kwa hatua hii ya awali ,hiyo section uliyosema Iko kwenye evaluation.
wizarayaujenzinauchukuzi_1679319116802297.jpg
wizarayaujenzinauchukuzi_167931911680218.jpg
wizarayaujenzinauchukuzi_1679319116802134.jpg
 
Gari
How? Hujui hata maana ya hiyo concept,low income earners Wana magari?
Gari kwako ni nini, au ndio ile nadhalia kwamba mbogo akishakuwa na gari na nyumba basi ni tajiri.....boss wangu ni hivi kwa dunia ya leo usafiri na makazi ni basic need sio anasa tena kama tulivyokuwa tukiaminishwa.
 
Kwa hiyo ununue gari la mamilioni ushindwe kulipia Elfu 5 au 10 si ndio?
 
Back
Top Bottom