Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuanzisha Barabara za kulipia tozo

Kwani wewe ukianza na wazi kichwani Mke wako Huwa anajua? Watajua baadae
 
Ujenzi wa barabara ya Ubungo Chalinze Mbona umesimama kwa muda mrefu?

Ule wa njia 4-6 ?
Umeusimamisha wewe? Ndio umeanza Kwa hatua hii ya awali ,hiyo section uliyosema Iko kwenye evaluation.
 
Gari
How? Hujui hata maana ya hiyo concept,low income earners Wana magari?
Gari kwako ni nini, au ndio ile nadhalia kwamba mbogo akishakuwa na gari na nyumba basi ni tajiri.....boss wangu ni hivi kwa dunia ya leo usafiri na makazi ni basic need sio anasa tena kama tulivyokuwa tukiaminishwa.
 
Kwa hiyo ununue gari la mamilioni ushindwe kulipia Elfu 5 au 10 si ndio?
 
Zipigwe wapi wewe kwani pos machine kazi yake ni nini? Kule Kigamboni si mnalipia?
Kila kitu huwa recorded kuanzia kwenye CCTV cameras mpaka kwenye system nzima japo tokea wajenge Kigamboni sijawahi kurudi TZ but I believe mifumo huwa haitofautiani dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…