nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
We hupaoniSasa wapi hapo nilipoweka tumbo langu mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hupaoniSasa wapi hapo nilipoweka tumbo langu mbele.
Naomba unisaidie jinsi ya kuwa chawa,utaratibu upoje? Wanalipaje?Mafanikio yangu unayataka ya nini na yatakusaidia nini wewe hapo ulipo.
Lakini lazima ujue hawajakatazwa bali wameondoa ulazima kwa hiyo siyo lazima kutumika lakini wanaweza kuendelea kutumika kama hakuna ulazima!Kwako wewe sishangai, hata kama.angetaka waendelee kusimamia uxhaguzi bado unhekuja hapa kusifia na kuacha namba zako hapa. Itachukuwa muda kujitambua.
Naona mada hii kusahau kuandika cell number yake, ilitakiwa tume huru ya uchaguzi iwe na watumishi wake,kuanzia ngazi ya taifa hadi mtaa, watumishi hawa ndio ilitakiwa kisheria wasimamie chaguzi zote za vyama vya kisiasa na uchaguzi wa nchiKwako wewe sishangai, hata kama.angetaka waendelee kusimamia uxhaguzi bado unhekuja hapa kusifia na kuacha namba zako hapa. Itachukuwa muda kujitambua.
Narudia kukwambia kuwa haitakaa itokee upinzani kuongoza Taifa letu. Shika neno Haitakaa itokee. Ninyi endeleeni kuhangaika kutafuta labda uenyekiti wa vijiji,mitaa na vitongoji,udiwani na ubunge tu. Lakini kuanzia uspika wa bunge,unaibu spika pamoja Na uwaziri mkuu,umakamu wa Rais na Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania haitakaa itokee upinzani mkapewa nafasi ya kushika nafasi hizo.Acha Uzezeta Dogo tumia Ubongo kufikiri hata Zaire kulikuwa na Mazezeta ya Mobutu Dizaini yako yaliyokuwa yakimuabudu Mobutu.
Hakuna Entity itakayodumu milele na CCM siku zake zinahesabika.
Siyo kila mtu ni mchumia tumbo.Mchumia tumbo wewe,hata hao unaowalamba viatu wanajua kuwa wewe ni chawa njaa.
Kuhusu TAMISEMI kutosimamia uchaguzi serikali za mitaa, serikali imesema kuwa ipo katika kufanya utafiti na maandalizi na haiwezi kuondoa jukumu hilo haraka haraka tu kutoka mikononi mwa TAMISEMI kabla ya kufanya maandalizi ...Uchaguzi serikali za Mitaa usisimamiwe na Tamisemi.
..Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi wasailiwe na kamati ya uteuzi.
Mimi siyo chawa na sifanyi kazi ya uchawa.Naomba unisaidie jinsi ya kuwa chawa,utaratibu upoje? Wanalipaje?
Kuhusu TAMISEMI kutosimamia uchaguzi serikali za mitaa, serikali imesema kuwa ipo katika kufanya utafiti na maandalizi na haiwezi kuondoa jukumu hilo haraka haraka tu kutoka mikononi mwa TAMISEMI kabla ya kufanya maandalizi .
Kwa hiyo tuendelee kuwa na subiri na muda utakapofika serikali yetu tukufu itafanya kama wadau wanavyopendekeza .
Ndugu zangu Watanzania,
Kamati ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba imependekeza kuwa isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi.
Pia kamati imependekeza kuwa badala ya kuitwa Tume ya Taifa ya uchaguzi iitwe Tume huru ya uchaguzi.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
==============
Kamati ilikuwa ina maoni kwamba Sheria isiweke ulazima kwa Mkurugenzi Mtendaji kusimamia Uchaguzi na badala yake, kuwepo na masharti ya Mtumishi wa Umma mwandamizi ama mtu mwingine yoyote mwenye sifa kuteuliwa kuwa Msimamizi wa Uchaguzi au Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.
Serikali iliona kuwa upo umuhimu wa Wakurugenzi Watendaji kutajwa kwenye sheria kwa kuwa Mahakama ya Rufani ya Tanzania kwenye kesi ya madai na. 138/2019 na Mahakama ya Afrika ya Watu na Haki za Binadamu kwenye kesi ya madai na ziliamua kuwa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi haukiuki masharti ya Katiba wala Mkataba wa Afrika wa Watu na Haki za Binadamu mtawalia.
Ibara ya 6(1) inaeleza kuwa kila Mkurugenzi wa Jiji, Mkurugenzi wa Manispaa, Mkurugenzi wa Mji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya atakuwa Msimamizi wa Uchaguzi kwa madhumuni ya kuendesha uchaguzi katika Jimbo au Kata
Hawakubaliani na Wakurugenzi wa Halmashauri na watumishi wa umma kusimamia uchaguzi kwa kuwa hawawajibiki kwa tume ya uchaguzi bali wanawajibika kwa Rais na Chama Tawala hivyo wanakosa sifa ya kuwa mamlaka ya uchaguzi huru na haki. Vifungu hivyo vifutwe na Tume iajiri watumishi wake wenyewe
Kamati bado ina maoni kuwa hakuna ulazima wa sheria kuweka sharti kwa Mkurugenzi wa Jiji, Manispaa, Mji na Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi au wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa kuwa uzoefu unaonyesha wapo Wakurugenzi kwa sababu mbalimbali wanapoteza sifa za kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
Bwege mtozeni wewe.....mtu kama mimi siwezi kuwa mfuasi wa chama chochote....sawa ewe chawa?endeleeni kudanganya mafala wenu...Mbona hamueleweki mnataka nini wapinzani wa nchi hii?
Uwe na imani na serikali ya Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan. yeye akisema ni lazima atekeleze kwa Vitendo...hizo ni danadana tu.
..suala hilo limepigiwa kelele muda mrefu ni udanganyifu kwa serikali kuenenda kana kwamba ni jambo lililofahamika sasa hivi.
Uwe na imani na serikali ya Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan. yeye akisema ni lazima atekeleze kwa Vitendo.
Mbona CHADEMA katika mapendekezo yake ilisema vyama vya siasa vitoa watu watakao kwenda kuwa wajumbe wa tume ya Taifa ya uchaguzi? Sasa wewe hapa unasema huwataka.huoni unajihatarishia uanachama wako ndani ya Sacco's ya Mbowe?Upuuzi mtupu. Sheria inatakiwa kutamka kuwa ni marufuku wakurugenzi, wakuu wa wilaya au mteule yeyote wa Rais au chama cha siasa kusimamia uchaguzi. Tofauti na hilo ni uhayawani ule ule wa miaka yote.
Ningependa hata hivyo kukufahamisha ya kuwa hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu...Ni mbabaishaji.
..Uchaguzi serikali ya mitaa haupaswi kusimamiwa na Tamisemi[ wako chini ya Mwenyekiti wa Ccm.]
Acha Undezi Dogo.Narudia kukwambia kuwa haitakaa itokee upinzani kuongoza Taifa letu. Shika neno Haitakaa itokee. Ninyi endeleeni kuhangaika kutafuta labda uenyekiti wa vijiji,mitaa na vitongoji,udiwani na ubunge tu. Lakini kuanzia uspika wa bunge,unaibu spika pamoja Na uwaziri mkuu,umakamu wa Rais na Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania haitakaa itokee upinzani mkapewa nafasi ya kushika nafasi hizo.
Rubbish! rubbish!! you can feed this trash to your chickens not me!Ndugu zangu Watanzania,
Kamati ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba imependekeza kuwa isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi.
Pia kamati imependekeza kuwa badala ya kuitwa Tume ya Taifa ya uchaguzi iitwe Tume huru ya uchaguzi.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
==============
Kamati ilikuwa ina maoni kwamba Sheria isiweke ulazima kwa Mkurugenzi Mtendaji kusimamia Uchaguzi na badala yake, kuwepo na masharti ya Mtumishi wa Umma mwandamizi ama mtu mwingine yoyote mwenye sifa kuteuliwa kuwa Msimamizi wa Uchaguzi au Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.
Serikali iliona kuwa upo umuhimu wa Wakurugenzi Watendaji kutajwa kwenye sheria kwa kuwa Mahakama ya Rufani ya Tanzania kwenye kesi ya madai na. 138/2019 na Mahakama ya Afrika ya Watu na Haki za Binadamu kwenye kesi ya madai na ziliamua kuwa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi haukiuki masharti ya Katiba wala Mkataba wa Afrika wa Watu na Haki za Binadamu mtawalia.
Ibara ya 6(1) inaeleza kuwa kila Mkurugenzi wa Jiji, Mkurugenzi wa Manispaa, Mkurugenzi wa Mji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya atakuwa Msimamizi wa Uchaguzi kwa madhumuni ya kuendesha uchaguzi katika Jimbo au Kata
Hawakubaliani na Wakurugenzi wa Halmashauri na watumishi wa umma kusimamia uchaguzi kwa kuwa hawawajibiki kwa tume ya uchaguzi bali wanawajibika kwa Rais na Chama Tawala hivyo wanakosa sifa ya kuwa mamlaka ya uchaguzi huru na haki. Vifungu hivyo vifutwe na Tume iajiri watumishi wake wenyewe
Kamati bado ina maoni kuwa hakuna ulazima wa sheria kuweka sharti kwa Mkurugenzi wa Jiji, Manispaa, Mji na Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi au wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa kuwa uzoefu unaonyesha wapo Wakurugenzi kwa sababu mbalimbali wanapoteza sifa za kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
Kwa hiyo unataka nini ndugu yangu.maana hata hueleweki unataka nini.Rubbish! rubbish!! you can feed this trash to your chickens not me!
Eti!!