Pre GE2025 Kamati ya Bunge yapendekeza isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwako wewe sishangai, hata kama.angetaka waendelee kusimamia uxhaguzi bado unhekuja hapa kusifia na kuacha namba zako hapa. Itachukuwa muda kujitambua.
Lakini lazima ujue hawajakatazwa bali wameondoa ulazima kwa hiyo siyo lazima kutumika lakini wanaweza kuendelea kutumika kama hakuna ulazima!

Na mwanya utakao tumika ni huo kuwa hakuna katazo!

Ingekuwa nzuri kama wangepigwa marufuku kabisa kusimamia uchaguzi na iingie kwenye sheria kabisa!

Hii ni kama Daktari anamwambia mgonjwa kuwa unaweza kunywa vidonge au ukaachaa!
 
Kwako wewe sishangai, hata kama.angetaka waendelee kusimamia uxhaguzi bado unhekuja hapa kusifia na kuacha namba zako hapa. Itachukuwa muda kujitambua.
Naona mada hii kusahau kuandika cell number yake, ilitakiwa tume huru ya uchaguzi iwe na watumishi wake,kuanzia ngazi ya taifa hadi mtaa, watumishi hawa ndio ilitakiwa kisheria wasimamie chaguzi zote za vyama vya kisiasa na uchaguzi wa nchi
 
Acha Uzezeta Dogo tumia Ubongo kufikiri hata Zaire kulikuwa na Mazezeta ya Mobutu Dizaini yako yaliyokuwa yakimuabudu Mobutu.

Hakuna Entity itakayodumu milele na CCM siku zake zinahesabika.
Narudia kukwambia kuwa haitakaa itokee upinzani kuongoza Taifa letu. Shika neno Haitakaa itokee. Ninyi endeleeni kuhangaika kutafuta labda uenyekiti wa vijiji,mitaa na vitongoji,udiwani na ubunge tu. Lakini kuanzia uspika wa bunge,unaibu spika pamoja Na uwaziri mkuu,umakamu wa Rais na Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania haitakaa itokee upinzani mkapewa nafasi ya kushika nafasi hizo.
 
..Uchaguzi serikali za Mitaa usisimamiwe na Tamisemi.

..Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi wasailiwe na kamati ya uteuzi.
 
..Uchaguzi serikali za Mitaa usisimamiwe na Tamisemi.

..Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi wasailiwe na kamati ya uteuzi.
Kuhusu TAMISEMI kutosimamia uchaguzi serikali za mitaa, serikali imesema kuwa ipo katika kufanya utafiti na maandalizi na haiwezi kuondoa jukumu hilo haraka haraka tu kutoka mikononi mwa TAMISEMI kabla ya kufanya maandalizi .

Kwa hiyo tuendelee kuwa na subiri na muda utakapofika serikali yetu tukufu itafanya kama wadau wanavyopendekeza .
 
..hizo ni danadana tu.

..suala hilo limepigiwa kelele muda mrefu ni udanganyifu kwa serikali kuenenda kana kwamba ni jambo lililofahamika sasa hivi.
 
Upuuzi mtupu. Sheria inatakiwa kutamka kuwa ni marufuku wakurugenzi, wakuu wa wilaya au mteule yeyote wa Rais au chama cha siasa kusimamia uchaguzi. Tofauti na hilo ni uhayawani ule ule wa miaka yote.
 
..hizo ni danadana tu.

..suala hilo limepigiwa kelele muda mrefu ni udanganyifu kwa serikali kuenenda kana kwamba ni jambo lililofahamika sasa hivi.
Uwe na imani na serikali ya Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan. yeye akisema ni lazima atekeleze kwa Vitendo.
 
Uwe na imani na serikali ya Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan. yeye akisema ni lazima atekeleze kwa Vitendo.

..Ni mbabaishaji.

..Uchaguzi serikali ya mitaa haupaswi kusimamiwa na Tamisemi[ wako chini ya Mwenyekiti wa Ccm.]
 
Upuuzi mtupu. Sheria inatakiwa kutamka kuwa ni marufuku wakurugenzi, wakuu wa wilaya au mteule yeyote wa Rais au chama cha siasa kusimamia uchaguzi. Tofauti na hilo ni uhayawani ule ule wa miaka yote.
Mbona CHADEMA katika mapendekezo yake ilisema vyama vya siasa vitoa watu watakao kwenda kuwa wajumbe wa tume ya Taifa ya uchaguzi? Sasa wewe hapa unasema huwataka.huoni unajihatarishia uanachama wako ndani ya Sacco's ya Mbowe?
 
..Ni mbabaishaji.

..Uchaguzi serikali ya mitaa haupaswi kusimamiwa na Tamisemi[ wako chini ya Mwenyekiti wa Ccm.]
Ningependa hata hivyo kukufahamisha ya kuwa hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu.
 
Acha Undezi Dogo.
 
Rubbish! rubbish!! you can feed this trash to your chickens not me!

Eti!!
Kamati bado ina maoni kuwa hakuna ulazima wa sheria kuweka sharti kwa Mkurugenzi wa Jiji, Manispaa, Mji na Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi au wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa kuwa uzoefu unaonyesha wapo Wakurugenzi kwa sababu mbalimbali wanapoteza sifa za kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
 
Kwa hiyo unataka nini ndugu yangu.maana hata hueleweki unataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…