Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

Hata sishangai, management bado ileile, wanasiasa walewale, tabia zao zilezile, chama kilichoshindwa kilekile, kupata hasara iko kwenye DNA yao.
Hivi hawa wazazi waliozaa hao watu kweli wanajiskia Raha kabisa kuzaa watu wenye maamuzi ya aina hyo kweli. Hebu wazazi wengine wasituzalie watu wa namna hii.
 
ATCL ilianzishwa bila business Plan-CAG report.
 
Kuna tozo tutaifufua tu tuwe na ndege 100 hata Kama haxiendi kokote lakini kipindi Cha kampeni tutawapa kina Diamond watunge wimbo wananchi waburudike
 
Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
Umetia chumvi hadi umepitiliza. Duh!!!
 
Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wao walifikaje bungeni?? walidhani wanafika hivi hivi bila kuchota pesa na kulipa mapololiccm na vyombo vingine? au ndio Nyani haoni.......
Sawa lakini ukweli utabaki hapo hapo kwamba hili shirika la ndege ni Kimeo na mtambo wa kuteketeza kodi zetu, hata za hii miamala iliyopanda maana bado wanataka kuendelea kununua ndege nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…