Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unaelewa hata tupo katika uzi gani na tunazungumzia nini?Hapa tunazungumzia kamati iliyopendekeza kuwa Tanzania itangaze kuwa Corona ipo.Hatuzungumzii juu ya mimi na wewe!Corona ipo hupo nyumbani kwako? Maana mimi na wenzangu tulisha sahau kitambo?
Unaihitaji? Basi ikija ianze na wewe na ukoo wako maana mnaitamani
Dah, wajinga kama nyinyi mpo wengi kinoma, mentally slaves to the core. I pitty your offspringsBeberu huwa halikwepeki hata mfanyaje
Hiki ni kipigo kwa Askofu GwajimaKamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
Basi tumwombe Mungu tusifike huko, Mimi sioni haja ya lockdown, tupige kazi tu huku tukichukua tahadhar!lockdown hujaiona? Wamesema takwimu zitangazwe hizo mask,vyipimo vyanavyoonyesha postive mpaka papai,ndo Tanzania itaonekana cha India kimeingia,wakubwa watamwambia fanya lockdown kama wanavyofanywa Kenya.
eeh Mungu kwanini?
Eti wakasema wanafanya utafiti.....aisee😀😀😀Ule ni uvumbuzi wa zama za mawe ndani ya Karne ya 21
sasa karibia chanjo zoote mnazochanjwa mbona mlikuwa hamuulizi zinatoka wapi hii nchi inawasomi ila kama wajinga wajinga na huyo mtu wenu alisamaga eti kirusi ni kama mafuta unakunywa maji ya moto kinayeyuka hamna kitu yuleKwahiyo wazungu wakichanjwa na wewe uchanjwe?
Dah, wajinga kama nyinyi mpo wengi kinoma, mentally slaves to the core. I pitty your offsprings
we ndo huna akili badala ya kukaa na kusoma kirusi cha ukimwi , cancer jinsi inavyotokea unasubiri kudanganywa majukwaani na mpuuzi mmoja asiyeenda hata shule hopelss kabisa nyinyiUsije kujikuta ww ndio mjinga wa mwisho
Dah, wajinga kama nyinyi mpo wengi kinoma, mentally slaves to the core. I pitty your offsprings
Wenzetu wanatengeneza chanjo sisi tupo busy kutengeneza mitungi ya kujifukiza.Eti wakasema wanafanya utafiti.....aisee😀😀😀
Bro...izo si kauli za kuwasema wanawake hao ni dada zetu na mama zetu.Mwendazake alikuwa anatisha kwelikweli, halafu sijui akili zake alikuwa amepewa na nani maana hata mama janeth & jokate walikuwa hawamuelewi wao walikuwa ni kuvua na kutegesha basi mambo mengine walikuwa wanamuachia mwenyewe