#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Ingawa na Mimi nasema chanjo ije ila mtanzania yeyote asilazimishwe kuchanjwa pls.

Wakilazimishwa nitajua mabeberu wamefanya Lobbying.
 
Mama magenge ya Rushwa na ufisadi yatamsumbua sana
 
Umepiga cha chuga?
 
Ni kweli dunia mpaka sasa hivi ipo katika mlipuko wa Covid 19 na kila mtu yupo na hofu kubwa.


Lakini mnachotaka kuaminisha dunia kuwa eti Tanzania yetu ipo kwenye hali mbaya kiasi cha kuhitaji chajo ya Covid 19 kwa uharaka bila kuwa na uhakika wa ufanisi wake ni kutaka kuwafanya watanzania ni wajinga.

Ukweli ni kuwa Watanzania sio wajinga maana kila kukicha wanafuatilia masuala mbalimbali ya kidunia


Watanzania wanajua kinachoendelea huko Brazil, Usa India na hata Bondeni kwa Ramaphosa. Kama hali ni tete kiasi cha kuanza kutisha watu kuvaa barakoa na kuhitaji chanjo bila uhakika wake Tanzania isingekuwa hivi.

Ukweli ni kuwa Covid 19 ipo lakini sio kwa vitisho na chanjo mnazotaka kuttuletea kwa mikwara.

Watanzania sio wajinga Tambueni hilo
 
Pesa aliyotumia baba yako kukusomesha bora angenunua ng'ombe
 
Ingawa na Mimi nasema chanjo ije ila mtanzania yeyote asilazimishwe kuchanjwa pls.

Wakilazimishwa nitajua mabeberu wamefanya Lobbying.
Hakuna kulazimishwa ila wewe mwenyewe pale utakapo anza kujiona mjinga ikiwa umri umesonga na magonjwa nyemelezi yana gonga hodi. watu huwa wanajiamini wakijua watakuwa na nguvu zote daima. Dunia duara. unakuta mtu anakataa kupimwa ila yakimfika mwenyewe anakubali
 
Na bado tutashuhudia mengi zaidi. Nilisema baada ya mheshimiwa kututoka na sasa yanajitokeza. Mapendekezo ya kitoto kabisa. Eti tutangaze hadharani kuwa tuna korona mara eti tiba zetu za, asili sijui zifanyiwe upumbavu gan. Yaan hata hatujiamin sisi wenyewe. Sijui wasomi wetu wana madudu gani kichwani. Ona mifumo ya kiserikali inavyochezewa sasa. Hakuna nguvu ya kauli yoyote kutoka juu.
 
Mwendazake angefufuka leo, angeunga mkono mapendekezo ya kamati. Kwelu adhabu ya kaburi aijuaye maiti.
 
Inasikitisha sana
 
Hivi kweli unatetea HISIA ZA KIZALENDO zinazofurahisha nafsi tu ?!!!

Hivi unajua kuwa SERIKALI INAENDELEA KUIDHINISHA CHANJO ya magonjwa dhidi ya WATOTO WETU KILA UCHAO?!!!

Hivi kweli tuzikatae CHANJO dhidi ya KIFADURO ,PEPOPUNDA ,HOMA YA INI ,KIFUA KIKUU ,KICHOMI ,SURUA kwa kuwa tu ZINATENGENEZWA ULAYA NA NJE YA NCHI ?!!!

Hivi kweli SERIKALI YETU SIKIVU itashindwa kuzilinda afya za watanzania kwa sababu wanataka WAFE BAADA YA KUTUMIA CHANJO ?!!!

Hivi hili wimbi la uzalendo koko wenye UPOFU MWINGI linatokea wapi ?!!!

Hivi kuwa mzalendo ni kutoshirikiana na waitwao "mabeberu" ili uonekane mshindi ?!!!!!

WENGI WANAOPINGA HIZI CHANJO WAMEJAA TU NA MIHEMKO NA HISIA KOKO ZISIZO TAFITI BALI MAPAMBANO YA "KIHASAMA" YA KUJITUKUZA NA PIA KUPAMBANIA RANGI ZA NGOZI ZETU......

Mh.Rais Samia Suluhu Hassan ameshauriwa na wataalamu wetu na si "wapiga nzumari" vijiweni....

#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfCCM
 
Yaani Rais akusikilize wewe na sio wataalamu wa afya 😁 😁 😁
 
Acha ujinga wewe....Kwani Tanzania ilianza na mwendazake ?!!!

Hivi ninyi ujinga huu mnautoaga MASHIMO gani ?!!!

Tanzania itaendelea na lazima iendelee hata baada ya AWAMU YA 100.....

#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfCCM
 
Sio wa hovyoo tu blazaaa...ni wanasiasa maviii kabisaaaaa...walistahil kuchapwaa risasii hata miaaaaa...mavi kabisaaa hawaaa
 
Swadakta...
 
Mijinga sana hiyo mijamaa siasa zao sio za sera...
ni za kushambulia mtu....
Magu hayupo na wao wamepotea mazima...
Lissu huwezi msikia issue kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…