technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ingawa na Mimi nasema chanjo ije ila mtanzania yeyote asilazimishwe kuchanjwa pls.
Wakilazimishwa nitajua mabeberu wamefanya Lobbying.
Wakilazimishwa nitajua mabeberu wamefanya Lobbying.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama magenge ya Rushwa na ufisadi yatamsumbua sanaKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua uneme?
Yani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lisu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Tunawasiasa wa hovyo kuwahi kutokea kwenye nchi hii, kwenye vichwa vyao wanajua wakilaani haya mapungufu watakuwa wamempromote hayati Magufuli.
Yani ni mijitu ya hovyo kabisa ndiyo maana wanaishi ulaya kwa jasho la wanaume wenzao.
Umepiga cha chuga?Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua uneme?
Yani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lisu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Tunawasiasa wa hovyo kuwahi kutokea kwenye nchi hii, kwenye vichwa vyao wanajua wakilaani haya mapungufu watakuwa wamempromote hayati Magufuli.
Yani ni mijitu ya hovyo kabisa ndiyo maana wanaishi ulaya kwa jasho la wanaume wenzao.
Pesa aliyotumia baba yako kukusomesha bora angenunua ng'ombeNi kweli dunia mpaka sasa hivi ipo katika mlipuko wa Covid 19 na kila mtu yupo na hofu kubwa.
Lakini mnachotaka kuaminisha dunia kuwa eti Tanzania yetu ipo kwenye hali mbaya kiasi cha kuhitaji chajo ya Covid 19 kwa uharaka bila kuwa na uhakika wa ufanisi wake ni kutaka kuwafanya watanzania ni wajinga.
Ukweli ni kuwa Watanzania sio wajinga maana kila kukicha wanafuatilia masuala mbalimbali ya kidunia
Watanzania wanajua kinachoendelea huko Brazil, Usa India na hata Bondeni kwa Ramaphosa. Kama hali ni tete kiasi cha kuanza kutisha watu kuvaa barakoa na kuhitaji chanjo bila uhakika wake Tanzania isingekuwa hivi.
Ukweli ni kuwa Covid 19 ipo lakini sio kwa vitisho na chanjo mnazotaka kuttuletea kwa mikwara.
Watanzania sio wajinga Tambueni hilo
View attachment 1791167View attachment 1791170
Hakuna kulazimishwa ila wewe mwenyewe pale utakapo anza kujiona mjinga ikiwa umri umesonga na magonjwa nyemelezi yana gonga hodi. watu huwa wanajiamini wakijua watakuwa na nguvu zote daima. Dunia duara. unakuta mtu anakataa kupimwa ila yakimfika mwenyewe anakubaliIngawa na Mimi nasema chanjo ije ila mtanzania yeyote asilazimishwe kuchanjwa pls.
Wakilazimishwa nitajua mabeberu wamefanya Lobbying.
Kapigwe madole ya makalioni kisha ulale.Pesa aliyotumia baba yako kukusomesha bora angenunua ng'ombe
Cha chuga hakiwezi kukufanya mjinga hivyo.....Umepiga cha chuga?
Wazee wako bora wangepeana blow job tu, wangeepusha taifa na hili tairaKapigwe madole ya makalioni kisha ulale.
Inasikitisha sanaNa bado tutashuhudia mengi zaidi. Nilisema baada ya mheshimiwa kututoka na sasa yanajitokeza. Mapendekezo ya kitoto kabisa. Eti tutangaze hadharani kuwa tuna korona mara eti tiba zetu za, asili sijui zifanyiwe upumbavu gan. Yaan hata hatujiamin sisi wenyewe. Sijui wasomi wetu wana madudu gani kichwani. Ona mifumo ya kiserikali inavyochezewa sasa. Hakuna nguvu ya kauli yoyote kutoka juu.
Hivi kweli unatetea HISIA ZA KIZALENDO zinazofurahisha nafsi tu ?!!!Wote tumeshuhudia ile kamati iliyoundwa na rais Samia kuhusu Corona ilivyopopolewa na kupingwa kila kona na watanzania.
Dunia ilitakiwa ije kujifunza Tanzania tunavyopambana na corona lakini sasa hivi kuna nguvu kubwa inalazimisha sisi watanzania tukajifunze namna ya kupambana na corona huko India na Marekani walikokufa wengi.
Kwa report hiyo maprofesa wataendelea kutukanwa na akina Kibajaji na Msukuma wataendelea kusikilizwa na wananchi.
Haiingii akilini maprofesa wanatoa report utafikiri ugonjwa wa Corona umeibuka mwezi wa 3 mwaka huu, maprofesa eti wanapendekeza waziri wa afya aanze kukaa kwenye makamera na kutangaza leo tumepata wagonjwa wa corona idadi kadhaa...!
Kuna kila dalili hao maprofesa wamehongwa ili waje na mapendekezo hayo ya kuwatia hofu watanzania wakati hofu tulishaikataa tangu mwaka 2019.
Kwa muktadha huo nakuomba rais wangu mpendwa Samia Suluhu ipuuze kamati hiyo na mapendekezo yao yote kwani hayana tija yoyote kwa nchi yetu.
Acha ujinga wewe....Kwani Tanzania ilianza na mwendazake ?!!!Na bado tutashuhudia mengi zaidi. Nilisema baada ya mheshimiwa kututoka na sasa yanajitokeza. Mapendekezo ya kitoto kabisa. Eti tutangaze hadharani kuwa tuna korona mara eti tiba zetu za, asili sijui zifanyiwe upumbavu gan. Yaan hata hatujiamin sisi wenyewe. Sijui wasomi wetu wana madudu gani kichwani. Ona mifumo ya kiserikali inavyochezewa sasa. Hakuna nguvu ya kauli yoyote kutoka juu.
🤣Yaani Rais akusikilize wewe na sio wataalamu wa afya 😁 😁 😁
Sio wa hovyoo tu blazaaa...ni wanasiasa maviii kabisaaaaa...walistahil kuchapwaa risasii hata miaaaaa...mavi kabisaaa hawaaaKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua uneme?
Yani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lisu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Tunawasiasa wa hovyo kuwahi kutokea kwenye nchi hii, kwenye vichwa vyao wanajua wakilaani haya mapungufu watakuwa wamempromote hayati Magufuli.
Yani ni mijitu ya hovyo kabisa ndiyo maana wanaishi ulaya kwa jasho la wanaume wenzao.
Swadakta...Hakuna kulazimishwa ila wewe mwenyewe pale utakapo anza kujiona mjinga ikiwa umri umesonga na magonjwa nyemelezi yana gonga hodi. watu huwa wanajiamini wakijua watakuwa na nguvu zote daima. Dunia duara. unakuta mtu anakataa kupimwa ila yakimfika mwenyewe anakubali
Mijinga sana hiyo mijamaa siasa zao sio za sera...Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua uneme?