#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

CHADEMA walileta corona
 
😂😂😂😂😂 We ni thinker of the year
 
Huyu mwenyekiti wa kamati ya uchunguzi wa Korona ni aje?, unataka kumvunja mikono Rais wetu, zigo lote hilo la nini? summarise report yako safi ya page 40 mpe mama, kisha hayo madude yawe supporting docs... au mzee na wewe unataka uteuzi??
 
Watangaze kuwa corona ipo kwa viongozi wa serikali tu....sisi wanchi wa kawaida hatujui nini kinaitwa corona. Mishe zetu zinaenda kama kawa.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Nimesubiri hii ripoti kitambo kwa kilichosomwa naona ni ripoti ya kukaa tu na kuandika ambayo mtaalamu yeyote wa kuandika anaweza kuandika. Labda nikisoma mwenyewe naweza kuona jambo lolote kubwa.

Sijajua kwanini kulikua na ulazima wa kamati hii kama hiki walichoshauri na kuandika ndicho walikua wanakitafiti na kukifuatilia kwa muda wote.
 
Ana akili sio kujifungia na mifaili mpaka unapata mafua makali.
 
Kwa mujibu wa mataga watesama mwenyekiti wa kamati alikuwa mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…