KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Nn?Waziri wa Afya chini ya Jiwe those days..what a disgress
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nn?Waziri wa Afya chini ya Jiwe those days..what a disgress
Fafanua kidogo mkuu? Sio kwamba kuna vigogo wanataka kupiga pesa kupitia chanjo?Hao waambiwe hata Chanjo za kifaduro, Kifua kikuu, Homa ya ini, surua na polio zinatoka hukohuko kwa wazungu
Kana hawazitaki waambie watengeneze zao!
*************************************
Baada ya kusema hayo, hata mimi nataka tusikurupuke kwenye kupokea hizo chanjo, Hebu tukae kwanza kama miaka mitano tusikilizie, tukiona hazijawadhuru waliochanja basi hapo ndo tuamue kuchanja au la, tusikurupuke!
Subiri kesho kutwa usikie tamko la barako lazima mpaka chooniNani anakulazimisha kuvaa barakoa wewe?.acha uzwazwa.
bado kinawadocha au kimepoa kdg sshv??!!Msifanye masihara na kitu cha India 🤪 kikija bongo tutaokota maiti mitoni na baharini
hakuna haja ya kushawishiwa, kwanza hizo chanjo zenyewe ni chache na sio kila mtu atachanjwa.Ok washawishi sasa kwanini unafikiri wanatakiwa kuchanjwa?
Yaani huo utafiti wako ni mavi kabisa, maoni ya watu watatu ndiyo umefanya sample ya utafiti wako kwa nchi yenye watu 60+ millioni?
Upuuzi tu kujifanya kama hakuna kazi yoyote imefanyika kuhusu corona.Kwa mujibu wa DPC Gerson Msigwa Kamati maalumu iliyoundwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kufanya tathmini ya ugonjwa wa corona ( Covid-19) itawasilisha taarifa yake leo alasiri mbele ya Rais Ikulu Jijini Dar es salaam
----
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788449
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona -COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Said Aboud
JF ya siku hizi Haina tofauti na IG,Jamaa ametudhalilisha sana JF kwa kutuletea hizo comment za IG
Aliona kuvaa barakoa ni ujinga...afu uzuri wa corona unajua wanyonge na wabishi wake inajipigia tuDikteta alikuwa hataki kabisa kuona hivi
Duh! Hii nadhani ni ajali.Shenzi! Weka kiasi halisi kilicho kamatwa nyumbani kwake bila hivyo huu ni uzushi kama uzushi mwingine...
Endelea kudhani dhani tu. Ipo siku utadhani kuwa nawe ni mwanamke!Ndo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma [emoji1787].
Sidhani kama ni mtu wa kusoma mavitabu kama hayo.
Yeye ni mitandao tu [emoji1787][emoji1787].
Corona haina ushemejiAliona kuvaa barakoa ni ujinga...afu uzuri wa corona unajua wanyonge na wabishi wake inajipigia tu
Ungenipendekeza basi kwa raisi.Sasa siuteuliwe wewe mwenye jipya?
Hatari snIf you like Mwendazake, mfate Kituo cha Utalii kuna kibanda cha bati na nyasi huko hakina mkaazi mwingine zaidi yake!
Hii misimamo ndo imemgharimu!Koona ipoo..jameni..kwisha Tanzania ..tutaanza kujazwa hofu na masharti ya ajabu ajabu ya kulazimishana kuvaa barakoa...Uwii jiwee tutakumis kwa misimamo wako aisee
Hao tayari walishanunuliwa na mabeberu...hata majina yao yalikuwa Siri...