Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

WAMBURA NA MALINZI WAMEPATA WALICHOKUWA WANATAFUTA.WAMELAZIMISHA KURUDI KWENYE UONGOZI WA SOKA MPAKA WANAISHIA MAHABUSU.HII TAKATKA YOTE YA WALE VIONGOZI WABABAISHAJI WAFUNGWE TU WAKIANZIA NA MALINZI NA GENGE LAKE.WAKINA KABURU PIA KAMA WANAHUSIKA NA PESA ZA SIMBA WAWEKWE NDANI MPAKA TFF PAOGOPWE KAMA UKWENI.
 
Akaze mwendo aweKama Damas Ndumbaro maana nae alifungiwa na TFF lakini sasa ni Mbunge na atatajwa tajwa kumrithi Shonza
 
Ni kiasi gani?kutoka kwa nani?alipewa kwa sababu gani?zilikuwa ziende kufanyia nini?
Nadhani hayo maswali yalikuwa ya msingi kuliko kutuambia tuu ameshusha hadhi tff na blah blah zingine
 
Back
Top Bottom