Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji maelezo pia kwann asiruhusiwe kujielezaKwann wakili ambae n mwakilish hakupewa nafasi ya kujieleza?
Tunasubiria hatua zaidiHUo mpunga aliyovuta atarudisha lakini?.
Aha umenikumbusha mbali sana Hilo Jina anaongea km kafungiwa MotaKADUGUDA yuko wapi?
tofauti yoyote au mabadiliko ndani ya TFF?Jamaa yupo sirias na kazi
wambura kama sijakosea huwa ni wakuryaWambura anatia aibu sana ! hivi kabila gani huyu jamani ? Mtu unajijua una gundu lakini bado huachi wizi !
Kabila lake la nini sasa au unataka ukamuwangie?Wambura anatia aibu sana ! hivi kabila gani huyu jamani ? Mtu unajijua una gundu lakini bado huachi wizi !
Aha umenikumbusha mbali sana Hilo Jina anaongea km kafungiwa Mota
Hata Jamal Malinzi alikua ni wa Simba ehee??Hili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?
Aha mwina kaduguda mswahili wa ujiji yule anajiita simba wa yudaYes kila nikisikia jina Wambura namkumbuka Kaduguda