Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

Hawa ndiyo watu wanatuharibia mpira wetu wa Bongo.
 
Awa kina wambura na karia ndio waliomfanyia fitina Jamali Malinzi mpaka wakamuweka sero.
 
kwa kiasi kikubwa huyu jamaa amevuruga ligi daraja la kwanza tena mchana kweupe kwa kwa kutoa upendeleo kwa baadhi ya timu, huyu jamaa ni shida kweli kweli, kimsingi hili dude ndilo lililotakiwa kupelekwa lupango likaungane na walee wazee wa fitna wenzanke kunyea debe!
 
Hili ni zengwe! Mashtaka mepesi kama haya hayakustahili adhabu nzito namna hiyo.
 
Ha ha ha.. Vita na fitina zinaendelea TFF.. Mnaodhani Wambura amekutwa na hatia kihalali kabisa na "wasafi" wenye nia njema na kuendeleza soka la bongo, mmebugi step sana.. Hapa kinachoonekana ni mwendelezo wa kambi za Karia na Malinzi na isitoshe, watu wana mashaka na madaraka yao na zaidi wanafikiria urais baada ya miaka minne ya Karia kwani Wambura alishaanza kuonyesha nia ya kuwa mgombea wa urais wa TFF, uchaguzi ujao.. Hakuna hata afadhali hapo, sio Wambura wala Karia.. TFF itaendelea kufanywa shamba la bibi, kwa kuwa kuna maslahi mapana hapo..
 
Mike duuuu , this is very bad at your age umekuwa na dili la CAF KUWA KAMISAAA PESA NZURI TU FOR THREE YEARS KUZUNGUKA CONTINENT 5 STAR HOTELS SASA NDIO BASI USHANYEA KAMBI ...hapo bado TAKUKURU NA MKE WA MAREHEMU MAGANGA ANADAI FEDHA ZAKE ....balaaa linakuja mkuuuu
 
Uzuri wanaofukuzana ni mikia tupu,sie jangwani tupo bize kutetea ubingwa kwa mara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…